Wabunifu Watanzania washauriwa kuhalalisha kazi zao

0
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wabunifu wa Tanzania kuhalalisha kazi zao za mitindo ili kupata furusa mbalimbali zinazopita kwenye wizara kutokana na kujulikana na kutambulika na serekali...

Linnah Sanga – Koleza lyrics

0
Surprise Wakiongea usijibu chochote we baki bubu,Uko moyoni hawajui tu,Nafurahi umeleta amani kwenye maisha yangu,Povu liwatoke wakaroge, nitabaki na weChorusPenzi koleza, baby koleza,Hawatuoni, wana makengeza, kengeza x2Inabidi uniamini aee, kukuacha katu, katu,Sijui nini na nini aee,...

Vanesa Mdee azidi kupasua anga la kimataifa.

0
Mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za wanawake, Vanessa Mdee amefanikisha kurusha sehemu ya kwanza ya podcast yake ya ‘Deep Dive with Vanessa Mdee’ leo kwenye application ya Spotify, Google Podcasts na Apple Podcasts App.Mdee...

TUZO za Chris Brown

0
Ushindi wa Chris Brown katika tuzo kubwa za Marekani za Soul Train Music Awards 2019

TEKNOLOJIA: UINGEREZA YAGUNDUA APP YENYE KUTOA TAARIFA KUHUSU MARADHI YA FIGO.

0
Wanasayansi nchini UINGEREZA  wamegundua teknolojia inayoweza  kutoa taarifa kwa daktari ndani ya muda mfupi kwa mtu mwenye maambukizi ya maradhi ya figo, kupitia App ya simu ya kiganjani  inayojulikana kwa jina la DEEP MIND ili kusaidia kuongeza...