MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA SAFARI

0
Wahenga wanasema safari ni hatua, kauli inayomtaka kila mtu kufahamu kuwa safari inahitaji maandalizi.Hivyo ni vema kuweka mazingira sawa ya safari yako kabla hujaianza.Fahamu yapo mambo mengi ya kuzingatia kabla ya kuanza safari hasa...

JINSI YA KUPAMBA MEZA

0
Meza yako inabadilisha mwonekano wa sebule yako kutegemea na utakavyoipamba kuna muda unaweza kuiacha bila pambo lolote lakini muda ambao unataka nyumba yako iwe pambe na kuvutia kwa kutumia nakshi zifuatazo:MAUA: Unaweza kutumia maua...

Mikato ya suti za Jokate Mwegelo

0
Suti ni seti ya nguo zinazojumuisha koti la suti na suruali, mara nyingi huwa ni nguo inayofanana, na iliyovaliwa na shati la vazi iliyochanganywa, tai, na viatu vikali.Leo tunakuletea Mkuu wa Wilaya ya...

Ataka kuvunja rekodi kwa kupika saa 97 mfululizo

0
Huko nchini Nigeria mfanyabiashara wa migahawa na mwandishi wa maudhui ya chakula, Hilda Baci maarufu kama Food by Hilda,  ametangaza  jaribio lake la kuvunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa mtu mmoja kupika muda...

Tamasha La Kitaifa La Utamaduni

0
Tamasha la Pili la Kitaifa la Utamadunilimeanza leo mkoani Njombe na litafikia tamati Agosti 27, 2023.Wakati wa tamasha hilo ngoma za asili kutoka mikoa yote Tanzania zitatumbuiza na kushindana.Tamasha hilo pia litahusisha maonesho ya...

Wabunifu Watanzania washauriwa kuhalalisha kazi zao

0
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wabunifu wa Tanzania kuhalalisha kazi zao za mitindo ili kupata furusa mbalimbali zinazopita kwenye wizara kutokana na kujulikana na kutambulika na serekali...

Faida za kiafya za kuvaa kipini

0
Uvaaji kipini ni moja ya urembo unaopendwa sana na wanawake wa jamii mbalimbali.Kwa miaka ya hivi karibuni kipini kimeendelea kuvaliwa sana, huku utoboaji ukifanyika katika maeneo mbalimbali ya pua ili mradi tu...

Lishe duni chanzo cha magonjwa na udumavu

0
Baadhi ya watafiti wa afya wamebaini uwepo wa magonjwa yanayochangiwa na lishe duni na hivyo kusababisha udumavu wa makuzi kwa wananchi.Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Bodi ya Asasi inayojishughulisha na maendeleo ya kilimo cha...

Njia 10 za kukuwezesha kupunguza uzito

0
Najua huenda mwaka 2021 lengo lako lilikuwa kupunguza uzito lakini hukufanukiwa, basi tulihamishie lengo hilo mwaka 2022, na hapa tutazileta njia 10 rahisi kukuwezesha kufikia lengo hilo.Kupunguza uzito linaweza kuwa jambo gumu au jepesi...

Hoteli hii ipo nchi mbili tofauti

0
Hoteli hii ndogo inayoendeshwa na familia ‘Hotel Arbez Franco-Suisse’, pia inajulikana kama L'Arbézie.Upekee wa hoteli hii ni mahali ilipo ambapo ipo katika mpaka wa kimataifa.Uwepo wa hoteli Arbez Franco-Suisse katika eneo hilo ni matokeo...