Maeneo hatari kwa watalii kutembelea duniani

0
Duniani kuna baadhi ya maeneo ambayo yana sifa ambazo si za kuvutia.Mamlaka za nchi husika zimepiga marufuku maeneo hayo kutembelewa, ama wameweka utaratibu maalum kwa watu kuzuru kwenye maeneo...

Unafahamu nini kuhusu Jumamosi Kuu?

0
Jumamosi Kuu au kwa majina mengine Jumamosi Takatifu, kwa waumini wa dini ya Kikristo ni siku moja kabla ya Jumapili ya Pasaka ambayo ni siku ya mwisho ya Wiki Takatifu.Siku hii ni siku muhimu...

Afisa maudhui CHADEMA kizimbani

0
Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano...

HOW SUSTAINABLE TOURISM FLORISH LIVES AT BABATI RIGION

0
In Mbungwe Division, Babati District in Manyara Region, tourism activities seem to be flourishing and benefiting the people living in those areas.Babati District has various tourist attractions including Lake Manyara, Lake Burunge, Burunge Wildlife...

Unafahamu kuwa kuna watu husikia Rangi?

0
Baadhi ya watu huzaliwa na tatizo la kutokuona rangi kabisa unaojulikana kisayansi kama achromatopsia. Japo wanakuwa na uwezo wa kuona kila kitu bila kujua ni cha rangi gani.Tatizo hilo husababishwa na jenetiki na huweza...

TBC Kuboresha matangazo yake Nchini

0
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaandaa mfumo mzuri wa kulibadilisha shirika la Utangazaji Tanzania ili kuweza kuhimili ushindani wa ndani na nje ya nchi ikiwemo maslahi na miundombinu kwa wafanyakaziNaibu waziri...

NEMC yapata suluhu ya vibali kwa wachimbaji wa mchanga

0
Wachimbaji wa mchanga kwakutumia machepe na wakandarasi wa Mkoa wa Dar es salaam wamesema kutolewa kwa mwongozo na vibali vya kutolea mchanga kwenye mito kutawapunguzia usumbufu wa kukamatwa na Jeshi la polisi katika kujitafutia...