Unafahamu nini kuhusu Jumamosi Kuu?

0
Jumamosi Kuu au kwa majina mengine Jumamosi Takatifu, kwa waumini wa dini ya Kikristo ni siku moja kabla ya Jumapili ya Pasaka ambayo ni siku ya mwisho ya Wiki Takatifu.Siku hii ni siku muhimu...

Ghana yasherehekea miaka 63 ya uhuru

0
Raia wa Ghana, leo wanasherehekea miaka 63 ya uhuru wa Taifa hilo.Ghana ilitawaliwa na Uingereza na kupata uhuru wake chini ya Rais Kwame Nkurumah Machi 6, 1957.Ghana ilikuwa ni nchi ya kwanza barani Afrika...

TBC Kuboresha matangazo yake Nchini

0
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaandaa mfumo mzuri wa kulibadilisha shirika la Utangazaji Tanzania ili kuweza kuhimili ushindani wa ndani na nje ya nchi ikiwemo maslahi na miundombinu kwa wafanyakaziNaibu waziri...

Chapati ‘Rolex’ yenye 204kg yavunja rekodi Uganda

0
Chapati ‘Rolex’ kubwa zaidi yenye kilo 204.6 (451 Ib) imepikwa na Raymond Kahuma na wenzake nchini Uganda na kuifanya ivunje rekodi ya ukubwa nchini humo.Raymond na wenzake wamefanya kazi ya maandalizi kwa miezi kadhaa...

Unafahamu kuwa kuna watu husikia Rangi?

0
Baadhi ya watu huzaliwa na tatizo la kutokuona rangi kabisa unaojulikana kisayansi kama achromatopsia. Japo wanakuwa na uwezo wa kuona kila kitu bila kujua ni cha rangi gani.Tatizo hilo husababishwa na jenetiki na huweza...

HOW SUSTAINABLE TOURISM FLORISH LIVES AT BABATI RIGION

0
In Mbungwe Division, Babati District in Manyara Region, tourism activities seem to be flourishing and benefiting the people living in those areas.Babati District has various tourist attractions including Lake Manyara, Lake Burunge, Burunge Wildlife...

Afisa maudhui CHADEMA kizimbani

0
Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano...