Tanzania na Russia kushirikiana kudhibiti uhalifu

0
Tanzania imedhamiria kushirikiana na Russia katika kudhibiti uhalifu nchini ukiwemo ule wa kimtandao.Kushirikiana huko ni pamoja na kuwajengea uwezo askari wa vyombo vya ulinzi na usalama wa Tanzania kushirikiana na wenzao ambao nchi zao...

Jengo la Miaka Mia Moja la sababisha vifo

0
Watu Kumi wamekufa na wengine wengi wamenasa kwenye vifusi, baada ya jengo moja lenye ghorofa Nne  kuanguka katika mji wa Mumbai nchini India.Hadi sasa, chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo hakijafahamika.Wataalamu wa ujenzi nchini India wamesema kuwa,...

Tanzania Makamu Mwenyekiti mpya wa SADC

0
Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umemalizika rasmi tarehe 18 Agosti katika mji wa Windhoek nchini Namibia kwa kumteua Rais John ...

Sahle azuru Kenya

0
Rais Sahle-Work Zewde wa Ethiopia yupo nchini Kenya kwa ziara ya siku moja, ikiwa ni ziara yake ya kwanza ya kikazi nchini humo tangu ateuliwe kushika wadhifa huo mwezi Oktoba mwaka 2018.Lengo la ziara hiyo ni...

Maandamano ya kupinga kifo cha Floyd yaendelea Marekani

0
Maandamano ya kupinga kifo raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, George Floyd yamekuwa yakiendelea nchini humo, licha ya serikali ya nchi hiyo kuwatia mbaroni na kuwafungulia mashtaka askari waliohusika na kifo chake.Mjini Washington...

Mvumbuzi wa kanda za kaseti afariki akiwa na miaka 94

0
Mvumbuzi wa kanda za kaseti aliyepata sifa na kutambulika kwa teknolojia hiyo ambayo ilitumika kuhifadhi muziki, Lou Ottens amefariki dunia.Ottens amefariki dunia nyumbani kwake katika mji wa Duizel nchini Uholanzi akiwa na umri...

Baiskeli ya boksi, utainunua?

0
Mhandisi mmoja maarufu katika chaneli ya YouTube ya The Q ametengeneza baiskeli yenye matairi ya kiboksi, tofauti na ilivyo sasa kwa matairi kuwa duara na baiskeli hiyo inafanya kazi vizuri kabisa.Si wazo jipya kuwa...

China yatanda hofu juu ya maambukizi mapya ya Corona

0
Mji wa Jilin, China umejawa hofu na wasiwasi wa mlipoko wa maambukizi mapya ya virusi vya Corona kwa wakazi wa mji huo.Uongozi wa mji wa Jilin umesema, kumekuwa na maambukizi mapya vya virusi vya...

Tanzania kutoshiriki Miss World 2021

0
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo lililopangwa kufanyika tarehe 16 mwezi huu nchini Puerto Rico kutokana na kukosa Visa.Waandaaji wa...

Trump na Kim kukutana tena

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amesema Rais Donald Trump wa Marekani na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un watakutana kwa mara ya pili hivi karibuni.Marekani inataka muendelezo wa mazungumzo...