Kompyuta inayoongozwa na mawazo

0
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Sydney (UTS) nchini Australia wamekuja na teknolojia inayotumia sensa ambayo inaruhusu kuongoza roboti au kompyuta kwa njia ya mawazo.Kompyuta hizo zinazoendeshwa kwa kutumia mawazo ya namna mtu...

Expedia kutangaza utalii wa Tanzania

0
Kampuni kubwa ya biashara ya utalii duniani kupitia mtandao Expedia Group, imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Utalii (TTB) kutangaza na kuleta watalii wengi zaidi Tanzania.Kauli hiyo imetolewamjini Seattle nchini Marekanina...

Dkt.Mpango Asisitiza Malezi kwa Watoto wa Afrika

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wazazi wote Afrika kujitahidi kufuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni pamoja na kuzungumza nao, ili kuweza kutatua changamoto wanazopitia na kuwasaidia kutumia maarifa, ujuzi na vipaji...

Moto wazua taharuki DRC

0
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imesema kuwa uharibifu uliotokea baada ya kuteketea kwa moto kwa  majengo yanayotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi  katika  Jamhuri hiyo ni...

Maafisa usalama Marekani wapongezwa

0
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliopita Hilarry Clinton amewapongeza maafisa usalama nchini humo kwa kubaini milipuko iliyokuwa imelengwa kumuangamiza.Hillary amesema kuwa maafisa usalama nchini humo...

OMBAOMBA BILIONEA

0
Imezoeleka kuwa ombaomba unaokutana nao kwenye maeneo mbalimbali mjini ni watu wa hali duni na hawajikumu kimaisha. Mwonekano wao pia hushabihiana na dhana hiyo.Ombaomba mmoja mjini Mumbai, India amejikwamua kutoka kwenye dhana hiyo na...

Corona ni janga : WHO

0
Kwa mara ya kwanza Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza virusi vya corona kuwa ni janga.Katika taarifa yake ya hivi karibuni WHO imesema kuwa, katika siku chache zijazo kutaripotiwa idadi kubwa ya...

Serengeti Girls out Kombe la Dunia

0
Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imeondolewa katika mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kufungwa magoli 3- 0 na Colombia katika hatua ya robo fainali.Mchezo kati...

Sherehe za siku ya Afghanistan zasitishwa

0
Serikali ya Afghanistan imesitisha sherehe za siku ya Taifa hilo, baada ya watu Sitini na Watatu kuuawa katika shambulio la kujitoa mhanga lililotokea katika sherehe za harusi mjini Kabul.Sherehe za kutimiza miaka Mia Moja ya uhuru...

Muhoozi aahidi kuimarisha jeshi la Uganda

0
Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kupambana na ufisadi ndani ya jeshi baada ya kuchukua usukani kama kamanda mkuu wa juu wa jeshi hilo.Museveni mwenye umri wa miaka 79, ambaye ameiongoza Uganda...