Rais Samia ahimiza SADC kutengeneza chanjo ya UVIKO-19

0
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa mataifa yaliyoendelea kuongeza muda wa ulipaji wa mikopo kutokana na uchumi wa mataifa mengi ya Afrika kuathiriwa sana na janga la Ugonjwa wa Virusi vya...

Ajali ya treni yaua 24 DRC

0
Watu 24 wengi wao wakiwa watoto wamekufa na wengine Thelathini wamejeruhiwa baada ya treni kuanguka katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.Ajali hiyo imetokea kwenye jimbo la Kasai, ambapo polisi wamesema...

Waangalizi EAC wapongeza uchaguzi Kenya

0
Waangalizi wa uchaguzi mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wametoa ripoti yao ya awali inayoonesha kuwa uchaguzi huo ulikuwa huru na wa uwazi.Akitoa ripoti hiyo mbele ya waandishi wa...

Rais Buhari wa Nigeria aanza ziara Afrika Kusini

0
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria yuko nchini Afrika Kusini kwa ziara ya kikazi,  ikiwa ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo nchini humo tangu Nigeria ilipowarejesha nyumbani Raia wake Mia Sita waliokuwa wakiishi nchini humo.Buhari amesema kuwa,...

T.B. Joshua kuzikwa Julai 11

0
Kanisa la aliyekuwa Mhubiri maarufu wa nchini Nigeria, Marehemu Temitope Balogun Joshua, maarufu T.B. Joshua limetangaza kuwa mazishi ya Mhubiri huyo yatafanyika Julai 11 mwaka huu.Taarifa iliyotolewa na kanisa la Sinagogi la mataifa yote...

Baada ya miaka 14, Zuhura Yunus aiaga BBC

0
Mtangazaji mashuhuri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus leo usiku atatangaza kwa mara ya mwisho kipindi chake cha mwisho katika shirika hilo.Tangu mwaka 2008 baada ya kujiunga na BBC, Zuhura amekuwa...

DKT.TAX: NEMES ALIKUWA MFUNGWA

0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax amewataka watanzania wote wanaoishi nje ya nchi kufuata sheria za Tanzania kwa kutojiunga na makundi ya kijeshi kwenye nchi wanamoishi.Dkt. Tax...

Msanii Fulani afariki dunia

0
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mwanaharakati wa kutetea haki za wenye Ualbino Babu Sikare maarufu Albino Fulani amefariki dunia.Taarifa za kifo chake zimetolewa na mmoja kati ya marafiki zake wa karibu, msanii...