Muhoozi aahidi kuimarisha jeshi la Uganda

0
Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kupambana na ufisadi ndani ya jeshi baada ya kuchukua usukani kama kamanda mkuu wa juu wa jeshi hilo.Museveni mwenye umri wa miaka 79, ambaye ameiongoza Uganda...

Kimbunga chaua 11 Madagascar

0
Ofisi ya kitaifa ya kupambana na majanga nchini Madagascar imesema leo Machi 28, 2024, kimbunga Gamane kilichokuwa kimekadiriwa kukivuka kisiwa hicho cha Madagascar kilicho katika Bahari ya Hindi, kilibadilisha mwelekeo na kupiga katika eneo...

Ubaguzi wa rangi wamliza Vinicius

0
Winga wa Brazil na Real Madrid,Vinicius Jr (23) amejikuta akitokwa machozi wakati akijibu swali kuhusu ubaguzi wa rangi anaokumbana nao katika maisha yake ya soka nchini Hispania.Vinicius amesema mara nyingi huingia uwanjani akijikita zaidi...

Mradi wa SEQUIP kuboresha elimu

0
Serikali imedhamiria kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa miundombinu kwenye shule na vyuo, huku ikiwajengea Walimu uwezo wa kiutendaji kupitia mafunzo yanayoendelea kutolewa kupitia mradi wa kuimarisha Shule...

Waigizaji filamu waliopiga pesa ndefu 2023

0
Chapisho la Forbes limetoa orodha ya waigizaji 10 wa filamu walioingiza kipato kikubwa zaidi kwa mwaka 2023.Kwa mujibu wa chapisho hilo, Mwigizaji wa Filamu na Raia wa Marekani, Adam Sandler mafanikio yake katika tasnia...

93 wauawa kwenye tamasha la muziki Moscow

0
Watu takribani 93 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 140 wamejeruhiwa baada ya watu wenye silaha za moto kufyatua risasi katika tamasha la muziki wa rock kwenye ukumbi wa Crocus, nje kidogo ya Jiji...

Bila amani Waafrika wasahau mtangamano na maendeleo

0
Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimetakiwa kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa nchi zao zinakuwa na amani, umoja na utulivu na kutafuta ufumbuzi wa migogoro kwa kutumia njia zao wenyewe.Ushauri...

Denmark kuendeleza ushirikiano na Tanzania

0
Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Denmark (DANIDA) limeadhimisha miaka 62 tangu kuanzishwa kwake hapa nchini huku Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing-Spandet, akiahidi kuendeleza uhusino na ushiriano mzuri na wa muda mrefu...

Mtuhumiwa wa mauaji ya 1994 Rwanda akamatwa Marekani

0
Eric Tabaro Nshimiye, mzaliwa wa Rwanda amekamatwa huko Ohio, Marekani kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.Waendesha mashtaka wa Shirikisho wanamtuhumu Nshimiye kwa kuficha uhusika wake kwenye mauaji...

Papa Francis aweka sawa uvumi wa kustaafu

0
Papa Francis hana nia ya kustaafu kama ambavyo imekuwa ikivumishwa na amepanga kusalia katika wadhifa huo maisha yake yote, kulingana na tawasifu yake mpya.Papa mwenye umri wa miaka 87, amesema "hakuna hatari (yoyote ya...