Treni Kutoka Tanzania Kwenda Zimbabwe

0
https://www.youtube.com/watch?v=IIhWNE4aspw&feature=youtu.beTreni ya kwanza yenye mabehewa 22 na Tani zaidi ya Elfu Moja za mahindi yaliyouzwa na Tanzania kwa Serikali ya Zimbabwe imeondoka kuelekea Harare, huku ikielezwa kuwa, Tani zaidi zitaendelea...

Watendaji wa serikali wapatiwa mafunzo kuhusu tafiti

0
Mkurugenzi  Mtendaji  wa Taasisi ya Utafiti ya Kuondoa Umaskini Nchini (REPOA) Dkt Donard Mmary amesema  kuwa matokeo ya utafiti ndio yanayoweza kusaidia kuandaa sera na mipango ya kuleta maendeleo kwa  haraka kwa wananchi  na...

Redio za TBC kusikika nchi nzima mwaka 2024

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hadi kufikia mwaka 2024 usikivu wa matangazo ya TBC Taifa na TBC FM utakuwa nchi nzima.Dkt. Rioba amesema hayo wakati akitoa...

CRDB yapata faida ya Shilingi Bilioni 64

0
Benki ya CRDB imepata faida ya Shilingi Bilioni 64 kwa mwaka 2018, sawa na ongezeko la asilimia 78 kutoka faida ya Shilingi Bilioni 36 iliyoipata mwaka 2017.Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam...

Jukwaa la biashara na uwekezaji

0
Matukio mbalimbali katika picha yakionesha Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lililofanyika Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi mpya Kituo cha Uwekezaji

0
Rais John Magufuli amemteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).Kabla ya uteuzi huo Dkt. Kazi alikuwa Meneja wa Idara ya Sera za Kibajeti na Madeni wa Benki Kuu...

MTN Rwanda kusitisha uuzaji wa vocha za kukwangua

0
Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya MTN tawi la Rwanda (MTN Rwanda), imetangaza kusitisha uuzaji wa vocha za simu za kukwangua kuanzia tarehe 15 mwezi huu.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo,...

Serikali yaongeza Bajeti kwenye utafiti wa Mbegu za Alizeti

0
Serikali imendelea kuwekeza kwenye Taasisi zinazohusika na utafiti na uzalishaji wa mbegu bora ikiwa ni pamoja na mbegu za zao la Alizeti ili kuongeza tija na kukabiliana na upungufu wa mafuta ya kula nchini.Hayo...

Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira, Maliasili na Utalii kutoka SADC wafunguliwa

0
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa rai kwa Mawaziri wa Mazingira, Maliasili na Utalii wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kuwashirikisha Wananchi katika mikakati iliyopo ya kutunza...

Mercedes – Benz wazindua gari linalotumia umeme pekee

0
Kampuni ya kuunda magari kutoka nchini Ujerumani ya Mercedes - Benz, imezindua gari jipya linalotumia nishati ya umeme peke yake lililopewa jina la EQXX.Gari hilo lina uwezo wa kutembea umbali wa maili 620, baada...