Wafanyabiashara wa Tanzania na Ubelgiji kukutana

0
Kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Ubelgiji linatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam Oktoba 25 hadi 27 mwaka huu na kushirikisha zaidi ya kampuni arobaini na wafanyabiashara wakubwa takribani mia mbili.Akizungumza na waandishi wa...

Tanzania na Ireland kuongeza maeneo ya ushirikiano

0
Tanzania na Ireland zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano ambayo ni biashara na uwekezaji, kilimo, viwanda vya nguo pamoja na ujenzi.Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

TASAC yazimulika bandari za Ziwa Tanganyika

0
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wameanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuufanya mkoa Kigoma kuwa kitovu cha biashara kwa mikoa ya magharibi na nchi za maziwa makuu...

Chachacha za Gucci kuuzwa milioni 1

0
Kwa sasa ulimwengu wa mitindo umepatwa na msisimuko kutoka @gucci kutokana na mojawapo ya miundo yao ya kiatu cha “jelly slippers” maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha.Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola...

Indonesia zaidi kuwekeza Zanzibar

0
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.  Hussein Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Indonesia kuwekeza Zanzibar kutokana na uwepo wa mazingira mazuri ya uwekezaji.Dkt. Mwinyi ameyasema hayo wakati wa mazungumzo yake...

Marekani Yapongeza Juhudi za Tanzania katika kuvutia wawekezaji

0
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Inmi Patterson amesema kuwa nchi hiyo inatambua jitihada za serikali ya Tanzania za kuvutia wawekezaji na kwamba Mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyopo yatasaidia kufikia uchumi wa kati na wa...

Serekali Yawahakikishia Wafanya Biashara Mazingira rafiki kupitia utendaji,uwekezaji na utekelezaji nchini Tanzania

0
Marekani imesema mazingira ya biashara nchini Tanzania ni ya kutabirika na hivyo imeipongeza serikali kwa kutatua changamoto mbalibali ambazo zilikuwa zinaathiri shughuli za uwekezaji.Akizungumza katika mkutano wa wafanyabiashara wa Marekani jijini Dar es Salaam,...

Ghana yahofia vitisho vya EU

0
Serikali ya Ghana imepiga marufuku usafirishaji wa mboja za aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na bilinganya na pilipili  kutoka nchini humo kwenda nchi za nje,  kwa hofu kuwa zinaweza zikawa na wadudu waharibifu wa mazao.Taarifa iliyotolewa na Wizara...

Teknolojia mpya ya barabara zinazochaji magari

0
Ujerumani imeanza kuwekeza katika mradi wa teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara zenye uwezo wa kuchaji magari bila ya kutumia waya, hii itakuwa ni teknolojia mpya zaidi kwa nchi zilizoendelea.Mradi huo unatekelezwa na kampuni...