Wakamatwa kwa madai ya wizi wa fedha kwa njia ya simu

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Ialla jijini Dar es Salaam linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za wizi wa mtandaoni na utapeli.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa Ilala, Janeth Magomi...

Tanzania na Ireland kuongeza maeneo ya ushirikiano

0
Tanzania na Ireland zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano ambayo ni biashara na uwekezaji, kilimo, viwanda vya nguo pamoja na ujenzi.Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

Kongamano la kimataifa la uwekezaji laendelea Uswisi

0
Tanzania ni  miongoni mwa nchi 160 duniani zinazoshiriki katika kongamano la kimataifa la uwekezaji (World Investment Forum) linaloendelea Geneva, -Uswisi.Kongamano hilo la siku Tano limebeba kaulimbiu inayosema kuwa uwekezaji kwa maendeleo endelevu na lina...

Ndama Mtoto wa Ng’ombe jela miaka 5

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watu wawili wakazi wa Kinondoni mkoani Dar es Salaam kulipa faini ya milioni 1.5 ama kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja.Washitakiwa hao Shaban Ndama na Hussein...

Kenya walia na kupanda gharama za maisha

0
Wananchi nchini Kenya wamesema serikali mpya itakatoundwa baada ya uchaguzi mkuu wa Rais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu itakuwa na jukumu kubwa la kutatua matatizo ya wananchi ikiwemo kupanda kwa gharama za maisha.Wananchi hao...

Zanzibar yawakaribisha wawekezaji kutoka Nigeria

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchini Nigeria kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali.Hayo yamesemwa na Dkt Shein Ikulu mjini Zanzibar alipokutana na...

NBC yakabidhi gawio la Bil 6

0
Benki ya NBC imekabidhi Gawio Serikalini la shilingi Bilioni sita, ikiwa ni sehemu ya faida ya shilingi Bilioni 81.9 iliyopatikana kwa mwaka 2022.Mfano wa hundi ya Gawio hilo imekabidhiwa mkoani Dar es Salaam kwa...