Magazeti ya Nipashe na The Guardian yaonywa upotoshaji suala la Tanzania na Dubai

0
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameyaonya magazeti ya Nipashe na The Guardian kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa Bunge limejadili na kupitisha makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai Kuhusu...

Nyamapori sasa kuuzwa kihalali mabuchani

0
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imepitisha kanuni za kuanzisha mabucha ya nyamapori, na pia imerekebisha kanuni za uanzishaji bustani, mashamba, na ranchi za wanyamapori.Hayo yamesemwa leo Jumapili (Februari 9, 2020) na Waziri...

NBC yakabidhi gawio la Bil 6

0
Benki ya NBC imekabidhi Gawio Serikalini la shilingi Bilioni sita, ikiwa ni sehemu ya faida ya shilingi Bilioni 81.9 iliyopatikana kwa mwaka 2022.Mfano wa hundi ya Gawio hilo imekabidhiwa mkoani Dar es Salaam kwa...

EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitisha bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Septemba 1, 2021 na kuagiza bei za mwezi uliopita kuendelea kutumika.Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu...

Wakamatwa kwa madai ya wizi wa fedha kwa njia ya simu

0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Ialla jijini Dar es Salaam linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za wizi wa mtandaoni na utapeli.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa Ilala, Janeth Magomi...

Iringa wapata soko la uhakika la parachichi

0
Wakulima wa parachichi mkoani Iringa wamepata soko la uhakika la zao hilo baada ya kujitokeza mwekezaji ajulikanaye kama Kibidula Farm na kuanza kulima na kununua zao hilo na kisha kuuza nje ya nchi.Mkuu...

Watumiaji wa facebook watahadharishwa

0
Kampuni ya Meta imewatahadharisha watumiaji wa Facebook ambao wanaweza kuwa wamehatarisha usalama wa akaunti zao bila kujua kwa kupakua na kuweka wazi taarifa zao binafsi kupitia programu hasidi.Watafiti wa usalama kutoka kampuni ya Tech...

Naibu Waziri Kanyasu Atoa Nafasi kwa Wadau wa Utalii Wenye Mawazo Mapya

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ametoa nafasi  kwa Wadau wa Utalii nchini kuwa Uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii  upo tayari kupokea ushauri, mapendekezo pamoja na mawazo mapya yatayosaidia kuchochea...