Jela miaka 20 kwa kulaghai wazungu

0
Mrembo kutoka Ghana Mona Faiz Montrage maarufu Hajia 4Real, amefukuzwa nchini Uingereza na kupelekwa Marekani baada ya kushtakiwa kwa kashfa ya kurubuni kimapenzi Dola Milioni mbili za Kimarekani.Tayari Hajia amehukumiwa kifungo...

Ala ndizi ya Milioni 281.7

0
Njaa imemponza mwanafunzi mmoja huko Korea Kusini ambaye amekula ndizi ambayo pengine ndiyo ndizi ghali zaidi kuwahi kuuzwa duniani na chakula cha gharama zaidi alichowahi kula.Wakati wa maonesho ya kazi za sanaa katika onesho...

Siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani

0
Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambapo Tanzania inaungana na Mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku hiyo.Kitaifa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanafanyikia Zanzibar na Rais...

Dkt. Mpango: Jengeni miundombinu ya huduma za Zimamoto

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameiagiza wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kushirikiana na wizara ya Maji kuhakikisha pale inapojengwa miradi ya maji iwekwe pia miundombinu ya huduma za Zimamoto.Makamu wa Rais...

Miili zaidi ya waliokufa kwa njaa yafukuliwa

0
Polisi nchini Kenya mpaka sasa wamefukua miili ya watu 58 waliozikwa kwenye makaburi yaliyogundulika katika eneo linalomilikiwa na Mchungaji Paul Makenzi.Mchungaji huyo wa Kanisa laGood News Internationalambaye kwa sasa anashikiliwa na Polisi nchini Kenya,...

Milioni 700 kulipa mishahara soko la Kariakoo

0
Katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, Shirika la Masoko ya Kariakoo limeomba kuidhinishiwa shilingi bilioni 1.68 kwa ajili ya matumizi ya kawaida.Kati ya fedha hizo, shilingi milioni 747.54 ni kwa ajili ya mishahara na...

MaDC watakiwa kuzingatia mipaka ya madaraka yao

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wakuu wa wilaya nchini kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uzalendo na kujituma.Dkt. Mpango ametoa wito huo jijiniDodoma wakati akifungua mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa...

Wasanii wampongeza Rais kwa kutoa misaada Dodoma

0
Wasanii mbalimbali wamekutana wilayani Chamwino, Dodoma kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika miaka miwili ya uongozi wake, ambapo wametoa vifaa mbalimbali hospitalini na pilipiki kwa jeshi la polisi ili kuunga...

Love transfusion – filamu ya kitazania yenye viwango vya kimataifa.

0
Ubora wa filamu za kitanzania umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka ambapo kwa mwaka 2023 filamu ya Kitanzania inayokwenda kwa jina la LOVE TRANSFUSION imekuwa gumzo mitandaoni baada ya trailer lake kuachiwa hivi karibuni.Imezoeleka kwenye...