Waziri Mkuu wa Cape Verde : Rushwa isiwe kikwazo Afrika

0
Waziri Mkuu wa Cape Verde Dkt. Olavo Avelino Garcia Correia amewataka Viongozi wa Afrika kuipiga vita rushwa katika nchini zao.Dkt. Correia amesema moja kati ya changamoto kubwa Afrika ni rushwa, ambayo imekuwa ikikwamisha...

TAMISEMI NA ZIMAMOTO RAHISI KUFANYA KAZI PAMOJA

0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Eliezer Feleshi ameeleza namna ambavyo Jeshi la Wananchi linashika hatamu pale ambapo majeshi mengine yamekomea huku akifafanua namna ambavyo imeonekana ni vyema Jeshi la Zimamoto kuhushishwa na Ofisi Rais, Tawala...

Hifadhi ya Udzungwa yawanufaisha wakazi wa Mang’ula

0
Wakazi wanaoishi jirani na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa katika wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru Serikali kwa kudhibiti wanyama wakali na waharibifu.Pia wameishukuru Seriikali kupitia wizara ya Maliasili na Utalii kwa...

Kamati ya ugawaji vitalu vya uwindaji yazinduliwa

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua Kamati ya Ushauri ya Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii nchini na kuitaka kurekebisha kasoro zilizojitokeza siku za nyuma na pia ugawaji ufanyike kwa uwazi.Akizungumza...

Picha : Kongamano la Mapambano dhidi ya rushwa Afrika

0
Viongozi wa Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...

Kampeni ya Daftari la Mama kufikia wanafunzi waishio mazingira magumu

0
Kuzinduliwa kwa kampeni ya daftari la Mama na Baba kutasadia kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakuta wanafunzi wa elimu ya msingi wanaosoma katika shule za serikali zizilizopo vijijini.Wakili Philomena Mwalomgo ambaye pia ni mwenyekiti wa kampeni...

Wabunge wataka ushuru wa mafuta uongoezwe

0
Wabunge wameishauri Serikali kuongeza ushuru kwenye mafuta ya kula yanayotoka nje ya nchi ili kulinda viwanda vya ndani ambavyo vimekuwa vikikabiliwa na ushindani mkubwa kupitia mafuta yanayoingizwa nchini.Wabunge wametoa pendekeze hilo walipokuwa wakichangia bajeti...

Serikali yashauriwa kutoruhusu safari za mabasi usiku

0
Serikali imeshauria kusitisha utaratibu wa mabasi kusafiri usiku kutokana na uwepo wa hatari kubwa ya kusababisha majanga kwa sababu madereva wanaoendesha magari usiku huwa hawalali mchana, badala yake huwa wanafanya kazi nyingine.Ushauri huo umetolewa...

Rais Samia: Tuwe hodari katika kazi

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza Wakulima nchini kuongeza juhudi katika kulima mazao ya chakula na biashara, ili kuitumia vema miundombinu inayojengwa kwenye maeneo mbalimbali katika kusafirisha mazao yao.Kwa Wakulima wa mkoa wa Mwanza na...

Ntibazonkiza mchezaji bora Mei 2023

0
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Saido Ntibazonkiza amekuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei katika Ligi Kuu ya NBC.Saido amefunga jumla ya magoli saba katika mwezi huo, ambapo magoli matano alifunga katika mchezo mmoja,...