Mamelodi wamwinda Aziz Ki, mwenyewe afunguka

0
Miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanahusishwa kuiwinda saini ya kiungo wa Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki.Masandawana wanaonekana kuvutiwa na kiwango cha Ki, hasa katika michezo ya...

Ihefu sasa kuitwa Singida Black Stars SC

0
Timu ya soka ya Ihefu iliyohamisha makazi yake kutoka Mbarali, Mbeya na kwenda Singida, imebadili jina lake kutoka Ihefu Sports Club na sasa inatambulika kama Singida Black Stars Sports Club.Taarifa iliyotolewa na uongozi wa...

Aliyewahi kuwa kocha wa Simba afariki dunia

0
Aliyewahi kuwa kocha wa viungo wa Simba SC, Adel Zrane amefariki duniani.Zrane hadi umauti unamkuta alikuwa kocha wa viungo wa APR FC nchini Rwanda.Taarifa ya APR FC imeeleza kuwa chanzo cha kifo chake bado...

Pacome, Aucho, Yao hatarini kuwakosa Masandawana

0
"Natarajia kuwakosa baadhi ya wachezaji wangu nyota. Siwezi kuhatarisha afya za wachezaji ambao bado hawana utimamu wa kimwili. Lakini kuna uwezekano mkubwa wa kukosa wachezaji watatu mpaka wanne," amesema Kocha wa Yanga SC, Miguel...

Simba yatoa pole ajali za mashabiki

0
Simba SC imeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya ajali za mashabiki wake zilizotokea usiku wa kuamkia leo wakati wakiwa njiani kwenda Dar es Salaam kutazama mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

Bosi wa soka China jela maisha kwa rushwa

0
Aliyekuwa Rais wa Chama cha Soka China (CFA), Chen Xuyuan amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kupokea rushwa.Januari 2024, Chen alikiri kuchukua rushwa yenye thamani ya shilingi (za Tanzania) bilioni 28.7, jambo...

AL Ahly tunamwondoa – Ahmed Ally

0
Msemaji wa Timu ya Simba, Ahmed Ally, amewahimiza wanachama na wapenzi wa timu hiyo kuhakikisha wananunua tiketi zao mapema ili Machi 29, 2024 wajitokeze kwa wingi kwa Mkapa kushangalia timu yao ambayo amesema ina...

Griezmann nje kikosi cha Ufaransa

0
Rekodi ya Mshambuliaji wa Ufaransa, Antoine Griezmann ya kucheza michezo ya timu ya taifa mfululizo tangu Novemba 2016 imefikia ukingoni baada ya kuondolewa kwenye kikosi hicho kitakachocheza mechi za kirafiki dhidi ya Ujerumani na...

Pacome aitwa Timu ya Taifa ya Ivory Coast

0
Mchezaji wa timu ya Yanga, Pacome Zouzoua ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Ivory Coast, kuchukua nafasi ya Ibrahim Sangare anayechezea Nottingham Forest ya UingerezaPacome ameitwa huku akiwa amepata...

Ihefu kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga?

0
Ihefu SC imekuwa mwiba kwa Yanga SC kwa msimu miwili ambapo msimu uliopita walitibua rekodi ya Yanga ya kutopoteza michezo 49 baada ya kuifunga 2-1 katika Uwanja wa Highland Estate, Mbeya, ambapo Yanga ilihitaji...