Samatta aendelea kufanya vizuri Genk

0
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefunga mabao matatu - Hat Trick katika mchezo ambao timu yake ya KRC Genk imeibuka na ushindi wa mabao matano kwa mawili dhidi ya...

Yanga yaomba kujitoa kombe la Kagame

0
Uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua shirikisho la soka hapa nchini TFF  kuwaomba kujitoa katika mashindano ya Kagame Cup yanayotarajiwa kuanza June 28 mpaka Julai 13 mwaka huu jijini Dar Es Salaam.Msemaji wa...

Mjadala wa ushiriki wa mataifa 48 Qatar mwaka 2022 waondolewa.

0
Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la FIFA la dunia, Rais wa shirikisho la vyama vya mpira wa miguu duniani FIFA, Giovanni Infantino ametangaza kuondolewa kwa mjadala wa ushiriki...

FIFA kuchagua nchi itakayoandaa fainali za kombe la FIFA la dunia 2026

0
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kuanza kwa fainali za 21 za kombe la FIFA la dunia hii leo Juni 13 wanachama 211 wa shirikisho la soka duniani -FIFA watapiga kura kuchagua nchi itakayoandaa...

Teknolojia ya VAR kutumika kombe la dunia badala ya vibendera

0
Waamuzi wasaidizi katika fainali za 21 za kombe la FIFA la dunia wametakiwa kutonyanyua vibendera vyao endapo kutatokea utata wa kutambua kama kuna tukio la kuotea yaani offside na badala yake wasubiri msaada wa...