Kanisa Katoliki Matombo kutimiza miaka 125

0
Waumini wa Kanisa Katoliki Mtakatifu Paulo Matombo mkoani Morogoro wanatarajia kusheherehekea miaka 125 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo.Paroko wa Kanisa la Mtakatifu Paulo Matombo, Octaviani Msimbe amesema Jubilei ya...

Kumbukumbu ya miaka 30 mauaji ya Kimbari

0
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali wakimshuhudia Rais Paul Kagame wa Rwanda akiwasha Mwenge wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya nchini humo, kumbukumbu iliyofanyika Kigali leo Aprili 7, 2024.

Matumizi ya huduma za kifedha Tanzania

0
Tanzania imepitia mabadiliko makubwa kwenye sekta ya fedha yakichochewa na kasi ya ongezeko la matumizi ya teknolojia katika kuzalisha na kusambaza bidhaa na huduma za kifedha.Pamoja na hayo yanayoifanya Tanzania kubaki kuwa mstari wa...

Mapokezi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM

0
Hali ilivyo katika ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi, Lumumba jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, leo Aprili 5, 2024.Itakumbukwa kwamba kikao maalumu cha Halmashauri Kuu...

Mwenge kuzindua miradi ya bilioni 2/- Rombo

0
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro ambapo utakagua, kutembelea na kuzindua miradi saba yenye thamani ya shilingi bilioni mbili.Akizingumza mara baada ya kukabidhiwa Mwenge huo, Mkuu wa Wilaya ya...

Mongella akabidhiwa mikoba CCM

0
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Anamringi Macha, akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu mpa wa chama hicho (Bara), Komredi John Mongella, ikiwa ni sehemu ya makabidhiano rasmi ya ofisi, katika...

Biteko ampa pole Gachuma

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Machi 31,2024 amefika kijijini Komaswa, wilayani Tarime mkoani Mara ili kuhani msiba wa aliyekuwa Askofu wa New Life Gospel Community Church (NLGCC) Jimbo...

Jitoeni kwa ajili ya wengine

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kutumia Sikukuu ya Pasaka kutambua kwamba hakuna ushindi bila kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine, familia, wahitaji na Taifa kwa ujumla.Dkt. Mpango ametoa wito...

Mjengo wa P. Diddy wageuka utalii wa ndani

0
Nyumba ya kifahari ya mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean Combs maarufu P. Diddy iliyoko Los Angeles imekuwa kivutio kikubwa wiki hii cha watu kufurika kuitazama na kupiga picha. Hatua hiyo imekuja siku chache baada...

Kahamasisheni lishe shuleni

0
Mkufunzi kutoka Chuo cha Ualimu Ilonga kilichopo Wilaya ya Kilosa, Morogoro, Liliani Mfikwa amewataka walimu kuwa wachechemuaji mahiri wa utoaji wa huduma ya chakula shuleni kwa kuwa lishe bora ina mchango mkubwa katika kujenga...