Jitoeni kwa ajili ya wengine

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kutumia Sikukuu ya Pasaka kutambua kwamba hakuna ushindi bila kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine, familia, wahitaji na Taifa kwa ujumla.Dkt. Mpango ametoa wito...

Mjengo wa P. Diddy wageuka utalii wa ndani

0
Nyumba ya kifahari ya mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean Combs maarufu P. Diddy iliyoko Los Angeles imekuwa kivutio kikubwa wiki hii cha watu kufurika kuitazama na kupiga picha. Hatua hiyo imekuja siku chache baada...

Kahamasisheni lishe shuleni

0
Mkufunzi kutoka Chuo cha Ualimu Ilonga kilichopo Wilaya ya Kilosa, Morogoro, Liliani Mfikwa amewataka walimu kuwa wachechemuaji mahiri wa utoaji wa huduma ya chakula shuleni kwa kuwa lishe bora ina mchango mkubwa katika kujenga...

Jamii ielimishwe tafsiri ya neno nasaha

0
Mhadhiri Msaidizi kutoka Idara ya Saikolojia na Unasihi Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) George Mwala amesema ipo dhana kwamba mtu anapohitaji nasaha kutoka kwa Mnasihi ana maambukizi ya virusi vya...

Mahitaji ya jamii kipaumbele CSR

0
Diwani wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Yusuph amesema Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imekuja na miongozo kuhusu uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR) itakayotoa namna bora...

Walimu ‘kunolewa’ suala endelevu

0
Mratibu msaidizi wa Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari Tanzania (SEQUIP), Beatrice Mbigili, amesema serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inaendelea kutoa mafunzo mbalimbali kwa walimu wa shule za sekondari...

Bashungwa aonya lugha mbaya ya maafisa wa TRA

0
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kukuza uchumi wa sekta binafsi inayochangia makusanyo ya kodi ambazo zitawezesha ujenzi wa miundombinu ya barabara na utekelezaji wa miradi mingine ya maendeleo...

Wanaopitiwa na LTIP kupata hati

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema wizara hiyo itahakikisha inatoa Hati Miliki za Ardhi katika maeneo yote ambayo mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za...

Wabunge wa Uganda watembelea TCRA kujifunza

0
Wabunge kutoka Uganda na maofisa wa masuala ya Teknolojia ya Haabari na Mawasiliono (TEHAMA) wa nchi hiyo wametembelea Ofisi Kuu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ili kujifunza jinsi Tanzania inavyosimamia sekta ya mawasiliano...

Sasa tunauza nyama Dubai, Saudi Arabia

0
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameisaidia wizara hiyo kupandisha bajeti kutoka shilingi bilioni 66.5 mwaka 2021/2022 hadi bilioni 295.9.Hatua hiyo...