Walioathiriwa wa mafuriko waendelea kuokolewa

0
Serikali inaendelea na zoezi la kuwaokoa watu walioathiriwa na mafuriko katika Kata za Muhoro na na Chumbi B Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.Wakizungumza na TBC Digital wakazi wa kata hizo wamesema wameathirika kwa kiasi...

Hali ilivyo Arusha baada ya mafuriko

0
Picha mbalimbali zikionesha hali ilivyo katika eneo la Kisongo mkoani Arusha kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia leo Aprili 11, 2024.Mafuriko hayo yameleta athari mbalimbali ikiwa ni pamoja...

Biteko amjulia hali mzee Mashishanga

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko, amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mkuu wa Mkoa mstaafu Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake Mtaa wa Forest, mkoani Morogoro leo Aprili 11,...

Swala ya Eid al-Fitr

0
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Msikiti wa Mohamed VI, katika Makuu ya BAKWATA, Kinondoni mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya swala ya Eid al-Fitr.

Tanzania yathibitisha askari wake kuuawa DRC

0
Tanzania imethibitisha askari wake watatu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuuawa katika shambulio la bomu eneo la Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrsi ya Congo (DRC).Katika taarifa yake Waziri wa Ulinzi...

Maofisa AICC wasimamishwa kazi

0
Uongozi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kimewasimamisha kazi kupisha uchunguzi wakurugenzi watatu na maofisa wengine waandamizi watatu.Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano cha AICC, imesema kuwa wakurugenzi hao wamesimamishwa kazi...

Benki yatengeneza faida ya Bilioni 10.7

0
Benki ya Biashara Tanzania katika kipindi cha robo ya mwaka huu wa 2024 imetengeneza faida ya shilingi Bilioni 10.7 baada ya kodi.Faida hiyo ni ongezeko la asilimia 529 ikilinganishwa na shilingi Bilioni 1.7...

Mwenge wabisha hodi Tanga

0
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake mkoani Tanga ukitokea mkoani Kilimanjaro, ambapo unatarajiwa kukimbizwa kwenye wilaya nane na halmashauri 11 za mkoa huo.Mwenge huo umekabidhiwa kwa mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Batilda Burian...

Atelekeza gari msituni likiwa na wahamiaji

0
Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji mkoani humo wamewakamata raia 16 wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila vibali.Raia hao walikuwa wakisafirishwa na gari aina ya Landcruiser...

V8 yenye namba bandia yakamatwa ikisafirisha wahamiaji

0
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linawashikilia raia 17 wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila ya kufuata taratibu ikiwa ni pamoja na kutokuwa na vibali.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Lucas Mwakatundu...