Kamati za mitihani zatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu

0
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limeziagiza kamati za mitihani za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha taratibu zote za uendeshaji wa mitihani ya taifa ya darasa la saba zinazingatiwa.Agizo hilo limetolewa jijini Dar...

Mkutano wa kujadili viumbe vamizi wafunguliwa Arusha

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba amefungua mkutano wa wadau wa mazingira unaojadili hali halisi,changamoto na mikakati ya kukabiliana na viumbe vamizi nchini.Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha ikiwa...

Mkutano wa 12 wa Bunge waanza

0
Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano umeanza kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kumuapisha Mhandisi Christopher Chizza ambaye ni Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma aliyechaguliwa katika uchaguzi...

Rais Magufuli afanya uteuzi

0
Rais John Magufuli amemteua Dkt John Jingu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Kabla ya uteuzi huo Dkt Jingu alikuwa...

Mkutano wa 12 Bunge kuanza kesho

0
Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza Septemba Nne na kumalizika Septemba 14 mwaka huu kwa kufanya shughuli mbalimbali.Shughuli hizo ni pamoja na kupitisha kwa hatua...

Ajali yasababisha vifo vya watu watatu

0
Watu Watatu wamekufa papo hapo na mmoja kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari mawili katika eneo la Hedaru - Kadama wilayani Same mkoani Kilimanjaro.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issah amewataja...

Ubadhirifu Kampuni ya Huduma za Meli wamkera Rais

0
Rais John Magufuli ameeleza kukerwa na ubadhirifu uliokua ukifanyika katika Kampuni ya Huduma za Meli nchini.Amesema kuwa ubadhirifu huo umesababisha kampuni hiyo kushindwa kujiendesha ikiwa ni pamoja na kutolipa mishahara ya wafanyakazi kwa muda...

FUATILIA MUBASHARA

0
ZIARA YA RAIS Dkt JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI MWANZA AMBAPO RAIS ATASHUHUDIA UWEKAJI SAINI WA MIKATABA YA UJENZI WA MELI MPYA, CHELEZO NA UKARABATI WA MELI YA MV VICTORIA NA MV BUTIAMA KATIKA ZIWA...

Watanzania waishio China watakiwa kufanya kazi kwa bidii

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wanaoishi nchini China kufanya kazi kwa bidii na kuchangamkia fursa zilizopo nchini humo.Akizungumza na Watanzania hao jijini Beijing, Waziri Mkuu Majaliwa pia amewataka kuhakikisha wanazitangaza...

Ajali yaua Sita Arusha

0
Watu Sita wamekufa katika ajali ya barabarani iliyotokea kwenye eneo la Naja Mti Mmoja wilayani Monduli mkoani Arusha.Ajali hiyo imehusisha roli lililokua lilkitoka katika kambi za wakimbizi mkoani Kigoma ambalo limegongana...