Makatibu Wakuu wa wizara watakiwa kuzingatia sheria

0
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amewataka makatibu wakuu wa wizara na makatibu tawala wa mikoa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria , kanuni, taratibu na miongozo inayotolewa na serikali kila wanapofanya maamuzi.Akifungua kikao...

Usafiri reli ya kati kuboreshwa

0
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe amewahakikishia wakazi wa mikoa ambayo reli ya kati inapita, kuwa tatizo la usafiri wa njia hiyo linalotokana na uchakavu wa reli ni la muda kwa kuwa...

Utandikaji reli SGR waanza

0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema serikali ipo kwenye mpango wa kukamilisha mradi wa chuma wa Liganga na Mchuchuma ili miradi mbalimbali iweze kutumia bidhaa hiyo na kuacha kuagiza chuma...

Dkt Bashiru aitembelea TBC

0
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Bashiru Ally amewashauri wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na kuhakikisha wanawaunganisha Watanzania.Dkt Bashiru ametoa kauli hiyo wakati wa ziara...

Miili ya waliouawa Songwe yapatikana

0
Miili ya watu watatu wanaodaiwa kuuawa imepatikana kando ya Mto Mlowo wilaya ya Mbozi mkoani Songwe.Kamanda wa polisi wa mkoa wa Songwe, - Mathias Nyange amewataja watu hao waliouawa kuwa ni Lucas Umri na...

Kesi ya mauaji ya mwanafunzi yahamishiwa Mahakama Kuu

0
Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wa Bukoba mkoani Kagera  imeamuru kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta,- Spelius Eradius inayowakabili walimu wawili wa shule hiyo kuhamishiwa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba...

Matumizi ya dawa za kulevya yapungua kwa asilimia 90

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yamepungua kwa asilimia 90 baada ya serikali kufanikiwa kudhibiti biashara ya dawa hizo.Waziri Mkuu Majaliwa ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam...

Taasisi ya PCMC Health Care yawatembelea wagonjwa Vijibweni

0
Wakazi wa manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam wameipongeza serikali kwa kufanya maboresho katika sekta ya afya, hasa huduma za mama na mtoto na hivyo kuwawezesha akina mama wengi kuwa na uhakika wa...

Baraza Wawakilishi kukutana Septemba 19

0
Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar unatarajiwa kuanza Septemba 19 mwaka huu.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja, Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Msellem amesema kuwa wakati wa mkutano huo...

CCM yaibuka kidedea katika majimbo ya Monduli na Ukonga

0
Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam Jumanne Shauri amemtangaza mgombea wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwita Waitara kuwa mshindi katika kinyang’anyiro hicho.Waitara ameshinda baada ya kupata kura...