Serikali yajipanga kutekeleza ahadi zake

0
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya tano imejipanga kutekeleza ahadi zake na kuwatahadharisha wananchi kuwa macho na matapeli wanaopita vijijini kuchangisha fedha kwa madai ya kuwapa kipaumbele katika mgao...

Polisi kusaka waganga wa jadi

0
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limetangaza kuanza msako dhidi ya waganga wa jadi wanaojihusisha na upigaji ramli chonganishi.Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana ametangaza msako huo kufuatia ongezeko la mauaji hususani ya...

Shilingi Bilioni 8.6 kulipa fidia

0
Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 8.6 kulipa fidia wananchi wanaopisha upanuzi wa Ikulu ya Chamwino na Kiwanja cha Ndege cha Dodoma.Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge katika mkutano na...

Uhakiki wachelewesha nyongeza ya mishahara

0
Serikali imesema inatambua kuwa wafanyakazi wanahitaji nyongeza ya mishahara lakini zoezi hilo limekwama kutokana na zoezi la uhakiki la mwaka 2016/17 na kwamba kwa sasa wafanyakazi wanaingizwa kwenye kanzi data baada ya uhakiki.Akijibu swali...

Shilingi Milioni Mia tatu zakusanywa kwa mwezi mmoja

0
Zaidi ya shilingi milioni mia tatu zimekusanywa jijini Dar Es Salaam katika kipindi cha mwezi mmoja ikiwa ni faini kutoka kwa watu waliokutwa na makosa ya uchafuzi wa mazingira. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa...

Kigoma watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Ebola

0
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa mkoa wa Kigoma hususani wanaoishi katika maeneo ya mipakani na mwambao wa ziwa Tanganyika kuchukua tahadhari za kiusalama dhidi ya ugonjwa wa Ebola. Akizungumza kwenye mikutano ya hadhara katika...

Rais Magufuli ataka ujenzi wa daraja ukamilike kwa wakati

0
Rais Dkt. John Magufuli amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya Hainan kutoka China kuhakikisha anafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Sibiti ambalo linaunganisha mikoa ya Singida na Simiyu na...

Utalii wa ndege waongezeka msitu wa Amani

0
Idadi ya watalii wanaokwenda kutazama ndege katika hifadhi ya Msitu wa Amani wenye aina za ndege zaidi ya 400 uliopo Muheza Tanga, imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka, huku aina ya ndege inayovutia watalii wengi...

Mmiliki wa lori lililosababisha ajali Mbeya kukamatwa

0
Serikali imeagiza kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, mmiliki wa lori lililosababisha ajali hivi karibuni mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu Kumi na Watano na wengine kadhaa kujeruhiwa.Agizo hilo la serikali limetolewa...

Upotevu wa dawa wamkera Naibu waziri

0
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Nachingea mkoani Lindi, Mganga Mkuu wa Mkoa pamoja na wa wilaya...