Waziri Mkuu aongoza mazishi ya kitaifa waliokufa ajali ya MV Nyerere

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza wananchi katika mazishi ya kitaifa ya watu waliofariki dunia kwenye ajali ya MV Nyerere iliyotokea Septemba 20, mwaka huu.Akizungumza katika mazishi hayo yaliyofanyika katika eneo la Bwisya, kisiwa cha...

Askari wa usalama barabarani wapongezwa

0
Rais John Magufuli amewapongeza askari wa usalama barabara kwa juhudi zao za kusimamia usalama wa barabarani licha ya changamoto m mbalimbali wanazokabiliana nazo.Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo Septemba 23 alipokutana na kunywa chai...

Wanamichezo, Wasanii kuombeleza

0
Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dkt Harrison Mwakyembe ameagiza mabaraza ya michezo na sanaa ya taifa na mashirikisho husika kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia taifa liko kwenye maombolezo.Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji na...

Mazishi ya waliokufa maji yanafanyika Ukara

0
Mazishi ya Kitaifa ya watu waliokufa maji katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere yanaendelea hivi sasa katika kisiwa cha Ukara.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye anayeongoza mazishi hayo ambayo pia yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali.Akizungumza...

Miili ya watu 172 yatambuliwa Ukara

0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema miili ya watu 172 waliokufa maji baada ya kivuko cha MV Nyerere kuzama Septemba 20 mwaka huu imetambuliwa hadi majira ya saa 11 jioni...

Serikali yafungua akaunti maafa Mv Nyerere

0
Serikali imefungua akaunti maalum baada ya kivuko cha MV Nyerere kuzama Septemba 20 mwaka huu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amesema watanzania wanaweza kutuma...

Kazi ya uokoaji yaelekea ukingoni

0
Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amesema wanajitahidi kuhakikisha kazi ya kuwaokoa watu waliozama kufuatia kupinduka kwa kivuko cha MV Nyerere inakamilika hii leo ili kazi ya kuhifadhi miili ianze.Akizungumza na tbc...

Fundi Mkuu wa MV Nyerere aokolewa akiwa hai

0
Fundi Mkuu wa kivuko cha MV Nyerere ameokolewa akiwa hai wakati zoezi la uokoaji likiendelea katika kisiwa cha Ukara wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza. Mwandishi wa TBC aliyeko kisiwani Ukara anaripoti kwamba Fundi huyo Augustino...

Rais Magufuli atangaza siku nne za maombolezo

0
Rais Dkt. John Magufuli ametangaza siku nne za maombolezo kuanzia leo kufuatia vifo vya watu zaidi ya 130 vilivyotokana na kuzama kwa kivuko vya MV Nyerere.Akihutubia taifa kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania –TBC, Rais...

Bendera kupepea nusu mlingoti kwa siku tatu

0
Rais Dkt. John Magufuli ameagiza kuanzia kesho bendera za serikali kupepea nusu mlingoti kwa siku tatu hadi Septemba 24 mwaka huu. Akizungumza jijini Dodoma kwa niaba ya Rais Dkt. Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John...