Taasisi Afrika zatakiwa kuanzisha hifadhi binafsi za chakula

0
Taasisi zisizo za Kiserikali Barani Afrika zimeshauriwa kutafuta fedha kutoka kwa wahisani na watu wenye uwezo barani humo kwa ajili ya kuanzisha hifadhi binafsi za chakula ili kuzisaidia familia zinazoishi kwenye mazingira magumu.Hayo yamebainishwa...

Majaliwa katika mkutano wa pili wa pili Russia-Afrika

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Russia unaofanyika St. Petersburg nchini Russia.Mkutano huo...

TBC katika mkutano wa pili Russia-Afrika

0
Mkuu wa Kitengo cha Mipango na Maendeleo kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Nestory Madirisha akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha katika mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu...

TikTok yaruhusu ujumbe wa maandishi

0
Mtandao wa TikTok sasa kuwaruhusu watumiaji wake kuchapisha maudhui ya maandishi pekee bila ya video, hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mtandao huo kufanya hivyo ikifuatiwa na ushindani wa kibiashara kutoka kwa...

Belligham afungua ukurasa wa magoli

0
Kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amefunga goli lake la kwanza akiwa na timu hiyo na kutangazwa mchezaji bora wa mchezo katika ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Manchester United.Katika mchezo huo wa kirafiki uliofanyika...

Wananchi: Polisi wanatusumbua sana

0
Baadhi ya Wananchi wa wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamelalamikia namna ambavyo wanapata shida wanapokuwa na mashtaka na kupelekwa katika vituo vya polisi.Angelo Gabriel, mkazi wa Mlele amesema, kumekuwa na usumbufu mkubwa na wakati...

Wahitimu wawe watengeneza kazi si watafuta kazi tu

0
Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema Tanzania imejidhatiti kuboresha sekta ya elimu, ili kuandaa Rasilimali Watu ya kutosha kuiliendeleza Bara la Afrika.Dkt. Mpango ametoa kauli hiyo mkoani Dar es Salaam wakati akifungua mkutano...

Hifadhi ya Gesi, Ghuba ya Yamal, Urusi

0
Uwekezaji katika teknolojia na rasilimali watu ni nyenzo muhimu katika uzalishaji wa nishati safi ambayo inatajwa kuwa mkombozi katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya Tabianchi.Kampuni ya Gazprom ya nchini Urusi inayojihusisha na utafutaji, uziduaji...

OMBAOMBA BILIONEA

0
Imezoeleka kuwa ombaomba unaokutana nao kwenye maeneo mbalimbali mjini ni watu wa hali duni na hawajikumu kimaisha. Mwonekano wao pia hushabihiana na dhana hiyo.Ombaomba mmoja mjini Mumbai, India amejikwamua kutoka kwenye dhana hiyo na...

Rais wa Hungary ziarani Tanzania

0
Rais Katalin Novak wa Hungary anatarajiwa kuwasili nchini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku nne kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.Atakuwa nchini kuanzia leo Julai 17 hadi Julai 20, 2023.Katalin Novak...