Gesi asilia hupunguza athari za Hewa Ukaa

0
“Matumizi ya gesi asilia katika usafirishaji yatasaida katika kupunguza athari za hewa ukaa inayozalishwa na magari".Dmitry Khandoga, Afisa Mtendaji mkuu GAZPROM Afrika - Mauzo ya njeDmitry amesema hayo nchini Afrika Kusini katika mkutano maalum...

Mashine ya kurekodi ndoto yapatikana

0
Umewahi kuamka asubuhi na kusahau kabisa ulichokiota na ukijua kuna uwezekano usiwahi kamwe kukikumbuka tena?.Hivi sasa Wanasayansi wamebadili mwelekeo wa dhana hiyo.Wanasayansi hao kutoka nchini Japan wamevumbua kifaa kinachoweza kurekodi ndoto ukiwa...

Nimepona UVIKO

0
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza kuwa kwa sasa amepona kabisa na hana tena maambukizi ya UVIKO - 19.June 07, 2023 Rais Museveni alitangaza hadharani kuwa na maambukizi ya UVIKO-19, lakini kwa sasa amesema...

Dkt. Mpango amwakilisha Rais Burundi

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewasili jijini Bujumbura nchini Burundi leo ambapo anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Tanzania kutangazwa kwenye Jukwaa la Uchumi Qatar

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi leo ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la Uchumi huko Doha, Qatar,lenye lengo la kutangaza vivutio vya uwekezaji duniani.Dkt. Mwinyi anamwakilisha Rais Samia...

Dkt. Mpango ashiriki mkutano wa AfDB

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema upo umuhimu wa kuboresha utaratibu wa ufadhili wa miradi ya maendeleo na majukumu ya taasisi za fedha za kimataifa, ili kuendana na mabadiliko yaliyotokea duniani tangu kuundwa...

Agongwa na gari akivusha bata

0
Mwanaume mmoja nchini Marekani amefariki dunia baada ya kugongwa na gari, alipokuwa akiwasaidia bata kuvuka barabara.Tukio hilo limetokea katika mji wa Rocklin, California ambapo Casey Rivara (41), aliacha gari yake na kwenda kuwasaidia bata...

Wanawake Diaspora watakiwa kuchangia maendeleo nyumbani

0
Mke wa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi,Mama Mariam Mwinyi, amewasihi Wanawake wa Kitanzania wanaoishi nchini Qatar (Diaspora) kuendelea na utaratibu wa kuchangia maendeleo nchini mwao.Mariam Mwinyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya...

Wawekezaji wa Qatar wakaribishwa Zanzibar

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyiamewakaribisha Wawekezaji wa Qatar kuwekeza Zanzibar katika sekta ya utalii, uchumi wa Buluu pamoja na eneo jipya la uwekezaji ambalo ni utalii wa...

Dkt. Mwinyi kushiriki Jukwaa la kimataifa la uchumi

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi yupo Doha, Qatarkumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la Tatu la Uchumi.Jukwaa hilo linalodhaminiwa na kampuni ya Kimataifa ya...