Rais Senegal akubaliana na mahakama uchaguzi kufanyika

0
Rais wa Senegal anasema uchaguzi uliocheleweshwa wa kuchagua mrithi wake utafanyika "haraka iwezekanavyo". Hii ni baada ya mahakama ya juu kusema kwamba kucheleweshwa kwa uchaguzi huo ni kinyume cha katiba.Rais Macky Sall amehudumu kwa...

Askari wa Afrika Kusini wauawa DRC

0
Jeshi la Afrika Kusini linalolinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limekumbwa na tukio la kwanza lililosababisha vifo vya askari wake tangu litue hivi karibuni katika nchi hiyo kuzima uasi.Katika tukio hilo, askari...

Mtuhumiwa wa mauaji aua mahabusu mwenzie

0
Mwanaume mwenye umri wa miaka 42 anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya ndugu watatu nchini Hispania, anadaiwa tena kumuua mahabusu mwenzake gerezani anakoshikiliwa, ripoti zimesema.Mtuhumiwa huyo aliyetambuliwa kama Dilawar Hussain F.C., alihamishiwa katika gereza...

Rais Samia kukutana na Papa Francis

0
Rais Samia Suluhu Hassan leo Februari 12, 2024 anafanya ziara ya kikazi Vatican ambapo pamoja na mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Francis.Baada ya mazungumzo hayo,...

Rais wa Namibia afariki dunia

0
Rais wa Namibia, Dkt. Hage Geingob (82) amefariki dunia leo Februari 04, 2024 katika Hospitali ya Lady Pohamba nchini humo alipokuwa akipatiwa matibabu.Taarifa za kifo chake zimetolewa na Kaimu Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba,...

Simulizi namna taka za Plastiki zimekuwa mkombozi kwa Jamii

0
Ni rahisi kuidharua kazi ya chupa za plastiki (makopo), lakini wengi wao wanadai inawalipa na inawabadilishia maisha.Udadisi wa mwandishi wa Habari hii kwa baadhi ya akina mama na vijana waliounda kikundi cha pamoja huko...

Dkt. Mwinyi ashiriki Doha Forum 2023

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la 21 la Doha (Doha Forum) akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.Pamoja na mambo mengine, baada ya...

Kunguni waitesa Ufaransa, Serikali yatoa tamko

0
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa...

Umoja wa Mataifa wataka kuimarishwa demokrasia Afrika

0
Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ametoa wito wa kurejeshwa haraka utawala wa kirai kwenye mataifa ya Afrika yalioshuhudia mapinduzi ya kijeshi.Volker Turk amesema mwenendo wa kuchukua madaraka kwa...

Idadi ya vifo yazidi kuongezeka nchini Morocco

0
Kufuatia tetemeko la ardhi nchini Morocco, idadi ya watu wanaokadiriwa kufariki dunia katika tetemeko hilo inakadiriwa kufika watu 2,900.Wale walionusurika wamejiunga na timu ya uokozi ili kuendeleza juhudi za kuwatafuta manusura wengine. Vikosi vya...