Waandishi wa habari Myanmar wahukumiwa kifungo jela

0
Mahakama nchini Myanmar imewahukumu waandishi wa habari wawili wa shirika la habari la Reuters kifungo cha miaka Saba jela kila mmoja kwa kosa la kufanya uchunguzi wa siri nchini humo kuhusu mgogoro wa Rohingya.Waandishi...

Sunak njia nyeupe Uwaziri Mkuu Uingereza

0
Aliyewahi kuwa waziri wa Fedha wa Uingereza Rishi Sunak, anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo baada ya mgombea mwenzake Penny Mordaunt kujiondoa katika mchakato huo.Mordaunt amejiondoa katika mchakato huo dakika chache...

Waliokufa Afghanistan wafikia 68

0
Idadi ya watu waliokufa baaada ya kutokea kwa shambulio la kujitoa muhanga nchini Afghanistan imeongezeka na kufikia 68.Polisi nchini Afghanistan  wamesema kuwa shambulio hilo ambalo limetokea katika jimbo la Nangarhar lililopo karibu na Pakistan...

Dunia yamuaga Koffi Annan

0
Viongozi mbali mbali duniani leo Alhamisi wameungana na familia ya Koffi Annan, wakati shughuli za mazishi ya Katibu Mkuu huyo wa zamani wa Umoja wa Mataifa zikiendelea, katika nchi yake ya asili, Ghana.Mamia ya...

Sio mara ya kwanza Tanzania kujenga bomba la mafuta

0
“Ambacho watu hawafahamu, huu mradi wa bomba la mafuta ni wa muda mrefu kidogo. Nilibahatika kufanya kazi kwenye ofisi ya sheria mwaka 2013 ambapo tulishauri Total mwaka huo kuhusu sheria zote za Tanzania ambapo...

Denmark kuendeleza ushirikiano na Tanzania

0
Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Denmark (DANIDA) limeadhimisha miaka 62 tangu kuanzishwa kwake hapa nchini huku Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing-Spandet, akiahidi kuendeleza uhusino na ushiriano mzuri na wa muda mrefu...

Mamia waendelea kuondoka Afghanistan

0
Na Happyness Simon HansMtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi katika moja ya geti ya kuingilia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kabul nchini Afghanistan.Mbali na kifo hicho, watu wengine watatu wamejeruhiwa katika tukio...

Samaki mkubwa zaidi

0
Samaki mwenye uzito wa kilo 300 aliyevuliwa katika mto Mekong nchini Cambodia, ametajwa kuwa ni samaki mkubwa zaidi wa maji baridi kuwahi kuvuliwa duniani.Wanakijiji wanaoishi jirani na mto Mekong wamempa samaki...

Ajali ya ndege yaua watu 10

0
  Watu kumi wamefariki dunia baada ya ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini.Ndege hiyo imeanguka katika uwanja wa ndege wa Pieri mara tu baada ya kuruka ikiwa...

Bobi Wine azuiliwa kwenda nje ya nchi

0
Mbunge wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni Mwanamuziki Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine anayedaiwa kupigwa na kuteswa baada ya kukamatwa mapema mwezi huu, amezuiliwa kuondoka nchini humo kwenda kupatiwa matibabu nje ya...