Aliyenasa kwenye jengo lililoporomoka Sauzi aokolewa

0
Wanandoa wameshiriki furaha yao na BBC baada ya kijana wao kuokolewa kutoka chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka siku ya Jumatatu katika mji wa pwani wa Afrika Kusini wa George.Delvin Safers anakuwa miongoni mwa...

Corona ni janga : WHO

0
Kwa mara ya kwanza Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza virusi vya corona kuwa ni janga.Katika taarifa yake ya hivi karibuni WHO imesema kuwa, katika siku chache zijazo kutaripotiwa idadi kubwa ya...

Rungu la ECOWAS laiangukia Mali

0
Viongozi wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS)  wameisimamisha Mali uanachama, kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika wiki iliyopita, yakiwa ni ya pili ndani ya kipindi cha miezi 9.Kiongozi wa Mapinduzi hayo ambaye kwa sasa...

Rais aliyepinduliwa Niger aomba msaada wa Marekani

0
Rais wa Niger aliyepinduliwa, Mohamed Bazoum ameiomba Marekani na jumuiya ya kimataifa kusaidia kurejesha utawala wa kiraia nchini humo kufuatia mapinduzi ya kijeshi juma lililopita.Katika chapisho lake alilosema anaandika akiwa kama mateka amesema huenda...

Shinzo Abe afariki dunia

0
Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amefariki dunia baada ya kupigwa risasi akiwa katika kampeni za chama chake cha Liberal Democratic  (LDP)  kwenye uchaguzi wa wabunge katika mji wa Nara Magharibi mwa...

Elon Musk apata harasa

0
Wakati macho yakielekezwa kwenye kurasa za watu mashuhuri kwenye mtandao wa Twitter wanaoondolewa alama ya bluu 'Blue tick' na wengine kujitoa kwenye mtandao huo unaomilikiwa na Bilionea Elon Musk, Bilionea huyo amekumbwa na mkasa...

Marekani yaonywa kufuatia mauaji ya raia wake wenye asili ya Afrika

0
Umoja wa Mataifa umelaani mauaji ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika,- George Floyd yaliyotokea mikononi mwa polisi hivi karibuni. Katika taarifa yake Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet...

SCOATLAND: Nchi ya kwanza duniani kutoa taulo za hedhi bure

0
Bunge la nchini Scotland limepigia kura ya siri mswada wa utolewaji wa taulo za wanawake (sanitary pads & tampons) bure, mswada ambao umepata kura nyingi.Pedi hizo zitatolewa bure katika maeneo ya wazi kwa...

Takribani watu mia moja kumi na watano hawajulikani walipo

0
Takribani watu mia moja kumi na watano hawajulikani walipo na wengine kuhofiwa kuzama baada ya boti iliyobeba watu mia mbili na hamsini kuzama umbali wa kilomita nane kutoka pwani ya LIBYA.Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msemaji wa...

Mhalifu sugu nchini Ufaransa akamatwa

0
Mhalifu sugu nchini Ufaransa ambaye alitoroka gerezani akitumia helikopta iliyokuwa imetekwa nyara Redoine Faid, amekamatwa tena na polisi.Faid aliyekua akitafutwa  na vikosi vya ulinzi na usalama nchini Ufaransa, amekamatwa kaskazini mwa mji mkuu wa...