Bilioni 56 kutumika kuboresha mazingira ya biashara nchini

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema dira ya Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuboresha mazingira ya sekta ya biashara na uwekezaji nchini pamoja...

A-level kusoma hadi miaka mitano

0
Wanafunzi nchini Uganda watakaofaulu kujiunga na elimu ya juu ya sekondari wataweza kusoma hadi miaka mitano, ikiwa serikali ya nchi hiyo itaidhinisha mtaala mpya wa elimu kwa A-Level.Kwa sasa wanafunzi nchini Uganda wanasoma...

Augua ugonjwa wa kubadilika lafudhi

0
Mwanaume mmoja raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 50 ambaye jina lake limehifadhiwa, ameripotiwa kupatwa na ugonjwa usiokuwa wa kawaida wa kuzungumza lafudhi ya kigeni.Mwanaume huyo alijikuta akizungumza kwa lafudhi isiyoweza kudhibitiwa ambayo...

Teknolojia mpya ya kuokoa maisha ya wahanga wa tetemeko Uturuki

0
Wizara ya Ulinzi ya Marekani inatumia mfumo wa teknolojia bandia kusaidia juhudi zinazoendelea za kukabiliana na maafa katika nchi za Uturuki na Syria kufuatia tetemeko la ardhi.Tetemeko hilo la ardhi lilitotokea tarehe 6 mwezi...

Apona Ukimwi

0
Watafiti wametangaza kuwa mwanaume mmoja nchini Ujerumani aliyeishi na virusi vya Ukimwi tangu mwaka 2008, amepimwa na hakuna virusi vilivyoonekana kwenye vipimo hivyo.Utafiti uliofanywa na watafiti 36 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Ujerumani, Uholanzi,...

Mbu mpya agunduliwa

0
Aina mpya ya mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria kwa kipindi cha mwaka mzima imegundulika nchini Kenya.Asili ya mbu huyo ni Asia Kusini, mbu huyo 'Anopheles stephensi', na anadaiwa kuwa ni sugu kwa dawa za...

Choo cha miaka 2,400

0
Mabaki ya choo cha zamani cha kuvuta maji (ku-flush) yamegundulika huko China katika jumba la malikale lililoporomoka katika jiji la kale la Yueyang, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.Choo hicho chenye miaka kati ya 2,200...

Ageuza ndege nyumba ya kuishi

0
Mhandisi mstaafu wa umeme wa nchini Marekani, Bruce Campell (64) amegeuza ndege aina ya Boeing 727 kuwa nyumba ya makazi katikati ya msitu anapoishi kwa miaka zaidi ya 20.Campell alinunua kiwanja cha ekari 10...

Tetemeko jingine la ardhi latikisa Uturuki

0
Tetemeko jingine la ardhi lenye ukubwa wa 6.4 katika kipimo cha Richter limetikisa aneo la Kusini la Uturuki, zikiwa zimepita siku kadhaa tangu kutokea kwa tetemeko jingine katika nchi hiyo pamoja na Syria na...

Unaweza kuamini, ila haijawahi tokea

0
Monesho ya mitindo ya mavazi yanayowashirikisha wazee kama wanamitindo ni nadra sana kufanyika, tena lile litakalohusisha wanamitindo wazee wa Kiafrika ndio adimu zaidi kutokea.Nchini Nigeria mtaalamu wa picha Malik Afegbua amepata umaarufu mkubwa duniani...