Mwizi wa bumu hadi mhazini wa chuo

0
Sibongile Mani amechaguliwa kuwa Mweka Hazina wa kamati ya mikutano ya Chuo Kikuu cha Walter Sisulu (WSU) Eastern Cape, Afrika Kusini, baada ya kupita miaka kadhaa tangu alipohukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa...

Balozi Kombo awasilisha hati za utambulisho

0
Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malta, Dkt. George Vella.Balozi Kombo amewasilisha hati hizo baada ya nchi zinazosimamiwa na ubalozi wa Italia kuongezeka,...

11 wafariki, shule zafungwa

0
Watu 11 wamefariki dunia na wengine 16 hawajulikani walipo huko Blantyre, Malawikufuatia mafuriko makubwa yaliyotokana na kimbunga Freddy, kilichosababisha mvua kubwa.Kufuatia athari hizo, Serikali ya Malawi imefikia uamuzi wa kufunga shule katika...

Dkt. Mpango ahutubia Azerbaijan

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote kuendelea kushirikiana katika kutumia fursa, kukuza biashara ya kimataifa nauwekezaji, kushirikishana mbinu bora na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi.Makamu wa Rais...

Tanzania kuendelea kushirikiana na Cuba

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvado Valdés Mesa, mazungumzo yaliyofanyika katika mji wa Baku nchini Azerbaijan.Wakati wa mazungumzo hayo Dkt. Mpango amesema Tanzania...

APC yawashukuru Wananchi kwa ushindi

0
Chama tawala cha nchini Nigeria cha All Progressives Congress (APC) kimewashukuru wananchi wa Taifa hilo kwa kumpa kura nyingi mgombea wake Bola Tinubu,na hivyo kumuwezesha kuwa Rais mpya wa nchi hiyo.Tume ya Uchaguzi ya...

Mvua kubwa yaleta maafa Geita

0
Mtoto Marysiana Lucas (5) mkazi wa kijiji cha Bugogo halmashauri ya wilaya ya Geita amefariki dunia baada ya kudondokewa na ukuta alipokuwa akijitahidi kujiokoa baada ya mvua kubwa ya mawe kunyesha katika eneo hilo.Watoto...

Meli kubwa yatia nanga Tanga

0
Bandari ya Tanga imepokea meli kubwa yenye shehena ya tani zaidi ya 6,600 iliotoka Urusi kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kupitia bandari hiyo.Meneja wa bandari mkoa wa Tanga, Masoud Mrisha amesema ujio wa...

Kura zinaendelea kuhesabiwa Nigeria

0
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Nigeria, kufuatia uchaguzi wa Rais, Makamu wa Rais, Wabunge na Maseneta uliofanyika hapo jana.Zoezi hilo la kuhesabu kura linafanyika katika vituo 176, 846 vilivyotumika kupigia kura, ambapo baada...

Watanzania watonywa fursa ughaibuni

0
Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo nchini humo, kwani kuna fursa lukuki.Akizungumza mkoani Dar es Salaam katika Jukwaa la Biashara baina ya Tanzania na nchi wanachama wa...