Kichanga kilichookolewa Uturuki chaunganishwa na mama yake

0
Mtoto mchanga aliyeokolewa kwenye kifusi nchini Uturuki saa 128 baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi, ameunganishwa na mama yake mzazi Yasemin,takribani miezi miwili baada ya tetemeko hilo.Baada ya mtoto huyo mchanga...

Ataka kuvunja rekodi kwa kupika saa 97 mfululizo

0
Huko nchini Nigeria mfanyabiashara wa migahawa na mwandishi wa maudhui ya chakula, Hilda Baci maarufu kama Food by Hilda,  ametangaza  jaribio lake la kuvunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa mtu mmoja kupika muda...

Dkt. Rioba ashiriki mkutano wa vyombo vya utangazaji

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema TBC imekuwa ikifanya kazi kwa kwa uzalendo, ili kuzuia utangazaji hasi kuhusu Bara la Afrika hasa unaofanywa na vyombo vya habari...

Kamala Harris arrives in Tanzania

0
The Vice President of the United States, Kamala Harris, has arrived in Tanzania for a state visit.At Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, Kamala, along with her delegation, was received by the...

Kenya watakiwa kukaa meza ya mazungumzo

0
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki ametaka kufikiwa kwa makubaliano ya amani nchini Kenya na kuwashauri wadau wanaohusika na siasa kukaa katika meza ya mazungumzo.Katika taarifa yakeMoussa ameelezea umuhimu wa mshikamano...

Washukiwa mauaji ya AKA wakamatwa

0
Watu watatu wamekamatwa jijini Cape Town kwa mauaji ya rapa wa Afrika Kusini, Keinan Forbes (AKA) aliyeuawa kwa kupigwa risasi jijini Durban Februari 10, 2023.Washukiwa hao wamekamatwa baada ya polisi kuwafuatilia kwa ukaribu kwa...

Mama janeth atunukiwa tuzo

0
Mama Janeth Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Kimataifa toleo la tatu, inayotolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu maarufu M. T. Kasalu, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake kwa Taifa la Tanzania...

Profesa kuishi chini ya maji siku 100

0
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya Taasisi ya Chuo Kikuu cha Florida Kusini nchini Marekani iliyochapishwa mwezi huu, Profesa Joseph Dituri (55) wa chuo hicho anatarajia kuishi chini ya maji kwa...

Mwenye nyumba ataka CV

0
Wakati wa kutafuta nyumba kila mwenye nyumba huwa na vigezo vyake mbalimbali anavyohitaji kutoka kwa mpangaji wake, na vingine vinaweza kukushangaza.Wakati @Goutham kama anavyojiita Twitter akitafuta nyumba ya kupangisha huko Bengaluru, India alipata nyumba...

ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Putin

0
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi, Vladmir Putin na afisa wa Urusi, Maria Lvova-Belova kwa madai ya mpango wa kuwahamisha kwa nguvu watoto wa Ukraine kwenda...