Jennifer Lopez achumbiwa tena na Ben Affleck

0
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez (52) na Ben Affeck (49) wamechumbiana tena baada ya kurejesha uhusiano wao mnamo 2021.JLo alitangaza uchumba huo Ijumaa katika video fupi kupitia jarida la mashabiki wake liitwalo ‘On The...

Sho Madjozi ana kwa ana na John Cena, apatwa na mshangao

0
Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka, Mwandishi wa nyimbo, Mwigizaji na Mshairi kutoka nchini Afrika Kusini, -Maya Christinah Xichavo Wegerif anayejulikana kisanii kwa jina la Sho Madjozi, amepatwa na mshangao mkubwa nusura...

TFF: Karia hahusiki na fedha za CAF

0
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limekanusha taarifa zinazomuhusisha rais wa shirikisho hilo Wallace Karia na malipo yanayodaiwa kusababisha kufungiwa kwa rais wa CAF Ahmad Ahmad kwa muda wa miaka mitano kwa matumizi mabaya ya...

EP zilizoachiwa mwaka 2021

0
Hizi ni miongoni mwa EP zilizoachiwa mwaka 2021,Je ni EP gani kati ya hizi huchoki kusikiliza?.

RC MAKONDA : KAMA HARMONIZE ANATUMIA BANGI AKIRUDI ATASUKUMWA NDANI

0
https://www.youtube.com/watch?v=NNQwrd6OGxU

Nyota wa filamu ya Queen of Katwe afariki dunia

0
Muigizaji wa filamu maarufu ya Queen of Katwe, iliyotayarishwa chini Uganda na kampuni ya Disney kuhusu mchezo wa sataranji (chess) amefariki dunia akiwa na miaka 15.Nikita Pearl Waligwa ambaye kwenye filamu hiyo aliigiza...

Sekta 5 zinazochangia zaidi ukuaji wa uchumi Tanzania

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa uchumi wa taifa umeendelea kuimarika ambapo katika kipindi cha Januari hadi Septemba 2019, ukuaji halisi wa Pato la Taifa (GDP) ulifikia asilimia 6.9.Majaliwa ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma...

Koffi ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

0
Nyota wa muziki wa mtindo wa rumba na soukous, -Koffi Olomide amepatikana na hatia ya udhalilishaji wa mmoja wa wanengeuaji wake, wakati mnenguaji huyo akiwa na umri wa miaka Kumi na mitano.Mahakama...

Harmonize kuondoka Wasafi

0
Mmoja wa Mameneja wa kundi la Wanamuziki la Wasafi (WCB) Sallam amesema kuwa, Mwanamuziki Rajab Abdul maarufu kama  Harmonize,  tayari ametuma  ombi la kuvunja mkataba wake na kundi hilo.Akizungumza katika mahojiano maalum katika kipindi...

Selena Gomez ampindua Kylie

0
Mwanamuziki na Mwigizaji Selena Gomez mwa nchini Marekani ameingia kwenye rekodi ya dunia 'Guiness World Record' kwa mara nyingine tena baada ya kumpindua mwanamitindo Kylie Jenner wa nchi hiyo na kuwa mwanamke mwenye wafuasi...