JK katika tafakuri

0
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye tafakuri nzito aliposhiriki shughuli ya kuaga mwili wa Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi inayoendelea katika Uwanja wa...

Mwili wa Hayati Mwinyi kupita njia hizi kuelekea Uwanja wa Uhuru

0
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ametaja maeneo ambayo mwili wa Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi utapita kwa ajili ya kwenda Uwanja wa Uhuru kuagwa."Tumejipanga kwa msiba huu, njia...

Iwe mvua iwe jua tutamuaga Mzee Mwinyi

0
Wananchi wakiwa katika viunga mbalimbali vya mji wa Zanzibar. Bila kujali mvua inayoendelea kunyesha wamejipanga kwenye mitaa kumuaga Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye mwili wake umepelekwa katika msikiti wa Jamii Zanj-ber kwa ajili ya...

Buriani Gardner

0
Mwili wa mtangazaji wa Clouds FM Gardner Habash umeagwa leo Aprili 23, 2024 kijijini kwao Kikelelwa Kata ya Tarakea wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ambapo pia unatarajiwa kupumzishwa kijijini hapo. Watu mbalimbali wakiwemo wafanyakazi wenzake,...

Mzee Mwinyi kuzikwa leo

0
Mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuzikwa leo jioni kijijini kwake Mangapwani mkoa wa Kaskazini Unguja.Kabla ya Maziko hayo, Mwili wa...

CCM chamlilia Mwenyekiti wake Mstaafu, Mwinyi

0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kupokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wake Mstaafu na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi,...