Kwaheri Bweleo

0
365

Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ukitolewa nyumbani kwake Bweleo wilaya ya Magharibi B, tayari kuelekea kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar ambapo shughuli za kuuaga mwili huo zitafanyika kabla ya kupelekwa katika Msikiti Jamii Zen-jibar ambapo utaswaliwa na kisha kuzikwa kwenye makaburi ya kijijini kwake Mangapwani, mkoa wa Kaskazini Unguja.