Dkt. Mpango amwakilisha Rais Burundi

0
319

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewasili jijini Bujumbura nchini Burundi leo ambapo anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).