Hayati Karume afanyiwa Dua Kisiwandui

0
Raia wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, leo Aprili 2024 amewaongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika dua maalumu ya kumuombea Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani...

Acheni uhalifu, endelezeni mema

0
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kutojichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kikatil ambavyo ni kinyume cha sheria hasa mauaji.Kamanda Mallya ametoa wito...

THPS yaipiga jeki sekta ya afya

0
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ameyataka mashirika yote ya kiraia yanayofanya kazi na sekta ya afya, katika fedha wanazozipata watenge asilimia kumi kwa ajili ya kuajiri watumishi wa afya watakaotoa huduma kwenye vituo kwa...

Watakiwa kuzingatia kanuni za afya kuepuka magonjwa

0
Ulaji usiozingatia misingi ya afya na mtindo wa maisha unatajwa kuchangia ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambuzika ambayo yanachangia ongezeko la wagonjwa wa figo.Hayo yameelezwa na Dkt. Adam Gembe ambaye ni mkuu wa kitengo...

Miradi ya maji Tanga sasa kujiendesha

0
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji, Nicodemas Mkama amesema hati fungani inayozinduliwa leo inakwenda kusaidia miradi ya maji Tanga kujiendesha yenyewe.Amebainisha hayo katika hafla ya Uzinduzi wa Hati Fungani ya Kijani ya...

Ofisi za vijiji, vitongoji, mitaa hazina hata maji ya kunywa

0
Mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitaraameitaka Serikali kuongeza posho kwa Wenyeviti wa vijiji, vitongoji, mtaa na Madiwani ili kuwawezesha viongozi hao kutekeleza majukumu yao.Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

MATOKEO KIDATO CHA NNE (CSEE) 2023.

0
Angalia matokeo ya kidato cha nne 2023 hapa.https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE%202023.htm

USAID kuboresha matumizi ya Teknolojia

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi mpya wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Craig Hart ofisini kwake jijini Dodoma.Mazungumzo hayo yamelenga zaidi...