Niko tayari kwa mdahalo na Trump

0
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema "atafurahi" kukabiliana na Donald Trump katika mdahalo kabla ya uchaguzi mkuu wa Novemba.Biden alikuwa akijibu swali la Howard Stern wakati wa mahojiano ya saa moja kwenye mtandao wa...

Tanzania na Russia kushirikiana kudhibiti uhalifu

0
Tanzania imedhamiria kushirikiana na Russia katika kudhibiti uhalifu nchini ukiwemo ule wa kimtandao.Kushirikiana huko ni pamoja na kuwajengea uwezo askari wa vyombo vya ulinzi na usalama wa Tanzania kushirikiana na wenzao ambao nchi zao...

Helikopta zagongana na kuua askari 10

0
Askari kumi wa Jeshi la Wanamaji la Malaysia wamefariki dunia baada ya helikopta mbili za Jeshi hilo kugongana.Helikopta hizo zimegongana wakati wa mazoezi ya gwaride la maandalizi ya maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa...

Aokolewa tumboni mwa mama aliyekufa kwa shambulio

0
Sabreen alikuwa amekufa kabla ya kumtazama machoni mwanawe. Mama huyo mwenye umri mdogo alikuwa na mimba ya miezi saba na nusu.Zilikuwa siku zenye hofu ya kila mara, lakini Sabreen alitumaini kwamba bahati ya familia...

Sasa rasmi watafuta hifadhi Uingereza kupelekwa Rwanda

0
Muswada wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda unatarajiwa kuwa sheria baada ya miezi mitano ya mabishano baina ya ofisi ya Waziri Mkuu huyo na Bunge.Muswada huo unaielezea Rwanda kuwa...

Mkuu wa Majeshi Kenya afariki kwenye ajali

0
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Kenya JeneraliFrancis Ogolla amefariki dunia kwenye ajali ya helikopta iliyotokea leo nchimi humo.Taarifa ya kifo cha Jenerali Ogolla imetolewa kwa Taifa na Rais William Ruto wa Kenya mara...

Rais Samia awasili Uturuki

0
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ankara Esenboga nchini Uturuki leo Aprili 17, 2024 kwa ajili ya ziara.Rais Samia amefanya mazungumzo na Waziri wa Familia na Huduma za...

Wanajeshi 50,000 wa Urusi wathibitika kuuawa

0
BBC Urusi, chombo huru cha Habari cha Mediazona na watu waliojitolea wamekuwa wakihesabu idadi ya wanajeshi wa Urusi waliouawa vitani tangu Februari 2022.Makaburi mapya pia yamesaidia kutoa majina ya askari wengi. Timu zetu pia...

Israel yaangusha ndege 300 za Iran

0
Marekani imewapongeza askari wake ambao wametoa msaada kwa vikosi vya Israel kuangusha takribani ndege zote 300 zisizo na rubani na makombora yaliyorushwa na Iran leo Aprili 14, 2024.Pongezi hizo zimetolewa na Rais Joe Biden...

Bilionea Vietnam ahukumiwa kifo kutapeli matrilioni

0
Ilikuwa ni kesi iliyovutia watu wengi Vietnam kutokana na kuhusisha moja ya utapeli mkubwa zaidi dhidi ya benki ambao pengine ni mkubwa kuwahi kutokea duniani.Ndani ya ukumbi wa mahakama ya wazi iliyojengwa enzi ya...