Teknolojia ya kutambua offside kutumika EPL

0
194

Rasmi vilabu vya Ligi Kuu ya nchini Uingereza vimekubali kuanza kutumia teknolojia mpya ya kutambua offside (Semi- Automated Offside Technology).

Mfumo huu mpya utaanza kutumika kwa mara ya kwanza katika ligi kuu hiyo msimu ujao.

Je, itakuwa suluhisho la utambuzi wa offside sahihi?