UVCCM watakiwa kufanya siasa kistaarabu

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, amewataka wanachama wa Umoja wa Vijana wa chama hicho ( UVCCM) kufanya siasa za kistaarabu na kubishana kwa...

Kinana atembelea TBC

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amefanya ziara katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).Kinana amefanya ziara hiyo kwa lengo la kujionea namna TBC inavyoendesha shughuli zake pamoja na kutembelea...

Wakorea kurudisha umri nyuma

0
Wakati watu wakizeeka kadri miaka inavyoongezeka, Wakorea Kusini wanakadiriwa kuzidi kurudi utotoni kwa mwaka mmoja au miwili.Hiyo ni kwa sababu bunge la nchi hiyo limepitisha sheria mpya ya kuondoa mifumo yao mitatu ya...

21 wabambwa na kilo 767 dawa za kulevya

0
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imekamata kilo 767.2 za dawa za kulevya kupitia operesheni zilizofanyika katika mikoa ya Dares Salaam, Pwani na Tanga kuanzia Aprili 4 hadi 18, 2024.Kamishna...

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji yaomba Bilioni 121

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo ameliomba Bunge likubali kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yenye jumla ya shilingi Bilioni 121 kwa ajili...

Serikali kuendelea kuhudumia Wananchi

0
Serikali imesema itaendelea kuzingatia maelekezo Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati na maeneo yote yaliayoainishwa katika ilani ya chama hicho pamoja na kuimarisha huduma kwa wananchi .Akizungumza mkoani Dodoma wakati...

Maafisa wa Jeshi 724 watunukiwa Kamisheni

0
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, leo amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 724 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika chuo cha Kijeshi Monduli mkoani Arusha.Kati ya Maafisa...

Kiwanda cha maziwa chazinduliwa Nsimbo

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo katika halmashauri ya wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi, ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita elfu 10 za maziwa...

Uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi, kuhusu mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya...