Rais Magufuli ataka Watendaji wa Kata kuthaminiwa

0
Rais John Magufuli amesema kuwa, kiongozi yeyote ambaye amekua hawajali na kuwathamini Watendaji wa Kata hatoshi katika nafasi aliyonayo.Rais Magufuli ametoa kauli hiyo Ikulu jijjni Dar es salaam wakati wa mkutano wake na Watendaji...

YANGA YAZINDUA JEZI MPYA KWA KISHINDO DAR

0
Klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar ea salaam kwa kushirikiana na kampuni ya GSM, leo wametambulisha jezi rasmi za timu hiyo watakazozitumia msimu wa 2019/20.Hafla hiyo ya utamburisho wa jezi hizo mpya imefanyika leo...

SERIKALI KUENDELEA KUPELEKA UMEME VIJIJINI NA KWA TAASISI ZA UMMA

0
Serikali imesema kipaumbele cha kupeleka umeme vijijini ni kwa taasisi za umma pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo inayohudumia wananchi.Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kalemawe, wilayani Same, muda mfupi baada ya kuwasha rasmi...

Polisi Kenya yakamata Dola Milioni 20 Bandia

0
Jeshi la Polisi nchini Kenya linawashilikia watu Sita baada ya kukamata zaidi ya  Dola Milioni 20 za Kimarekani ambazo ni bandia katika tawi moja la benki ya Barclays lililopo jijini  Nairobi.Katika taarifa yake, Mkurugenzi wa Upelelezi wa...

Dkt Rioba awatakia heri wanawake TBC

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayub Rioba akizungumza na wanawake wafanyakazi wa TBC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na kusema kuwa shirika hilo linawathamini wanawake na hata kuwakabidhi...

Biashara ya vitenge Kigoma yapungua

0
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani  Kigoma  imetoa wito kwa wafanyabiashara wa kuuza vitenge mkoani humo kuwa na utamaduni wa kutunza kumbukumbu za biashara yao.Meneja wa TRA mkoani Kigoma, - Jacob Mtemang’ombe ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya baadhi...

Waliosombwa na maji Myanmar waendelea kuokolewa

0
Waokoaji nchini Myanmar wanaendelea na zoezi la kuwaokoa watu waliosombwa na maji baada ya bwawa moja kubwa nchini humo kupasuka na maji yake kusambaa hovyo hadi katika makazi ya watu.Zaidi ya watu Sitini Elfu...