SIMBA DAY ITAKUWA SIKU YA KIPEKEE MWAKA HUU-AUSSEMS

0
Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji Patrick Aussems amesema Siku maalumu ya Simba(Simba Day) mwaka huu itakuwa ya kipekee kulinganisha na miaka ya nyuma kutokana na aina ya wachezaji wanaounda kikosi hicho.Akizungumza na Mtandao wa Simba kutokea nchini Afrika...

Man U, Chelsea zarejea kwa ushindi

0
Manchester United na Chelsea jana zimerejea kwenye Ligi Kuu ya England (EPL) kwa ushindi katika michezo yao ya mzunguko wa 15 wa ligi hiyo.Chelsea waliwanyuka FC Bournemouth mabao 2 kwa bila katika mchezo wa...

Mo akutana na uongozi Simba

0
"Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto ziko wapi na namna ya kuzitatua, kikao kimeenda vizuri. Wanasimba tusife moyo tuendelee kushirikiana." ameandika Mohamed Dewji kwenye ukurasa wake wa InstagramJe, Wewe unaona changamoto...

Majaliwa ashiriki mbio za Tulia Marathon

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Tulia Trust. Mbio hizo zimeanzia na kuishia kwenye uwanja...

Michezo ni afya na fursa ya ajira

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini.“Kama mnavyofahamu, michezo ni zaidi ya afya na burudani lakini leo tunathibitisha kuwa baada...