Mihimili ya dola imefaidika kutokana na Muungano

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametaja faida mbalimbali za Muungano ambazo ni pamoja na kuiwezesha Mihimili mitatu ya Dola kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba kwa kushirikiana pande zote mbili za Muungano bila ya...

Hitimisho Baraza la wafanyakazi TBC

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Stephen Kagaigai ametoa wito kwa watumishi wa shirika hilo kufanya kazi kwa weledi na nidhamu.Kagaigai ametoa wito huo alipokuwa akihitimisha kikao cha...

TBA yaagizwa kutekeleza miradi yenye ubora

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameuagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha miradi ya ujenzi wanayotekeleza inazingatia ubora, tija, gharama nafuu pamoja na ujenzi wa kisasa unaoendana na wakati.Makamu wa Rais...

Tanzania yasherehekea siku ya Uhuru

0
Watanzania leo wanaadhimisha miaka 61 ya Uhuru, Uhuru uliopatikana Desemba 9 mwaka 1961.Maadhimisho hayo ya miaka 61 ya Uhuru yamebeba kauli mbiu inayosema Miaka 61 ya Uhuru : Amani na Umoja ni...

Majaliwa : Miradi ya afya Sumbawanga hairidhishi

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya hospitali ya manispaa ya Sumbawanga pamoja na kituo cha afya cha Matanga mkoani Rukwa, ambapo tayari serikali imetoa zaidi ya...

Waziri Mkuu Bungeni

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge kabla ya kuanza kwa kikao cha 5 cha mkutano wa 8 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea Mkoani Dodoma

Serikali yataka kuharakishwa maboresho bandari ya Tanga

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha miradi yote ya maboresho ya bandari ya Tanga inakamilika ifikapo mwezi Aprili mwaka 2023, ili ianze kufanya kazi...

Tetemeko laua watu 46

0
Idadi ya watu waliofariki dunia baada ya tetemeko la ardhi kukikumba kisiwa cha Java nchini Indonesia imefikia 46, na mamia wengine wamejeruhiwa.Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 5.6 katika kipimo cha matetemeko -Richter imelipiga hasa...

Vituo 1,859 kupima Kifua Kikuu

0
Serikali imepanga kuanzisha vituo 1,859 nchi nzima, kwa ajili ya kutoa huduma ya vipimo vya ugonjwa kifua kikuu ili kuwawezesha wananchi kupata huduma hizo katika maeneo yao.Naibu waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel...

Silaha haramu kuteketezwa kesho

0
Jeshi la Polisi nchini, kesho litateketeza silaha haramu zilizosalimishwa kwa hiari katika kampeni maalum iliyofanyika nchi nzima kuanzia Septemba Mosi mwaka huu hadi Oktoba 31 mwaka huu.Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini...