Rais Samia : Hili ni kundi langu

0
“Napenda kuwaambia kuwa hili ni kundi langu na ndio maana nimekuja kusikiliza wana yapi ya kusema, lakini pia kusikia CHADEMA wanasema nini kuhusiana na nchi yetu.”“kwa hivi sasa Mwanamke wa Tanzania anathaminiwa na kupewa...

Tumekuja kuliombea Taifa

0
Maelfu ya Watanzania wamefika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kwa ajili ya kushiriki kwenye maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano.

Moshi yazindua chanjo dhidi ya saratani

0
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imezindua zoezi la utoaji chanjo dhidi saratani ya mlango wa shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa kuanzia miaka tisa hadi 14.Katika zoezi hilo lililozinduliwa leo...

Ajenda ya kutokomeza Malaria iwe ya kudumu

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amezitaka Kamati za Usalama kuona umuhimu wa kuifanya ajenda ya kutokomeza Malaria iwe ya kudumu kwenye vikao vya maamuzi.Dkt. Mollel ameyasema hayo akiwa amemwakilisha Waziri wa Afya,...

Mwili wa aliyefukiwa na kifusi mgodini wapatikana

0
Mwili wa mchimbaji mdogo wa madini Bahati Ngalaba aliyefukiwa na kifusi cha udongo kwa muda wa siku saba katika mgodi wa Golden Hainga, Kata ya Nyarugusu Wilaya ya Geita umepatikana.Bahati aliyefukiwa na kifusi Aprili...

Vikundi 46 Kigoma vyakabidhiwa mkopo wa Shilingi Milioni 170

0
Manispaa ya Kigoma - Ujiji, imekabidhi mkopo wa Shillingi Milioni 170 kwa vikundi 46 vya Wanawake, Vijana na watu Wenye ulemavu, ukiwa ni mwendelezo wa utekelezaji wa ahadi ya Serikali...

Serikali yakemea upotoshaji Loliondo na Ngorongoro

0
Serikali imesisitiza kuwa kinachoendelea katika eneo la Loliondo mkoani Arusha ni uwekaji wa alama za mipaka kama ilivyo kwenye maeneo mengine ya hifadhi hapa nchini.Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori katika wizara ya Maliasili...

CDF Mkunda: JKT itaendelea kukuza uchumi

0
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Jacob Mkunda amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) limeendelea na shughuli za uzalishaji mali wa faida, ili kuipunguzia serikali gharama ya...

Graphite kuanza kuchimbwa Ruangwa

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali ipo katika majadiliano na kampuni ya Uranex kwa ajili ya ujenzi wa mgodi wa madini ya bunyu (graphite) utakaoanza hivi karibuni.Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa wananchi wa wilaya...

TMDA kufanya utafiti wa Viagra

0
Mamlaka  ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imesema kuwa inafanya utafiti wa Dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra  kwa kuangalia matumizi yake kwa ukubwa na yapo kwa kiasi gani ili waweze kutoa...