Septemba JWTZ itatimiza miaka 60

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Muungano umewezesha kulinda Uhuru na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kupitia umoja wa Watanzania na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mipaka ya nchi imelindwa na...

Kamilisheni mchakato wa kupata ISO

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mary Maganga ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa utoaji huduma unaofuata viwango vya Kimataifa katika kushughulikia masuala ya fidia kwa...

Nishati chafu yasababisha vifo Mil 2

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amesema zaidi ya watu Milioni mbili hufariki dunia kila mwaka duniani kote kutokana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia.Jafo...

Huduma ya Intaneti kwako ikoje ?

0
Huduma ya intaneti kwa saa kadhaa sasa imekuwa si ya kuridhisha kwa watumiaji wa mitandao tofauti tofauti ambapo baadhi ya watumiaji wanasema imekuwa ikikata na kurejea toka majira ya saa nne asubuhi leo Mei...

Kinana ndani ya maktaba iliyobeba historia ya nchi

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameonesha kuvutiwa kuona makala za video na sauti zilizobeba kumbukumbu ya historia ya Tanzania.Maktaba hii ipo katika Ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania...

MAKABIDHIANO YA NYARAKA

0
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, amemkabidhi Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi nyaraka za kuwa mlezi wa mradi wa...

Waziri Nape msibani kwa Kapembe

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombolezo mkoani Tanga, kufuatia kifo cha Mwandishi wa Habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Joachim...

Mazishi ya Kapembe

0
Mke na watoto wa Joachim Kapembe, mwandishi wa habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) aliyefariki dunia tarehe 13 mwezi huu mkoani Kilimanjaro, wakiaga mwili wa mpendwa wao huko mkoani...

Prof. Kahyarara: Tanzania kuwa lango la biashara

0
Katibu Mkuu wa wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Profesa Godius Kahyarara amesema serikali imedhamiria kuiona Tanzania inakuwa lango la uchumi wa Bara la Afrika kwa kuwa na viwanda vikubwa ambavyo vitasaidia kupeleka...