Marufuku kuingiza mifugo mapori ya Biharamulo, Buligi na Kimisi

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku wananchi kuingiza mifugo katika mapori ya akiba ya Biharamulo, Buligi na Kimisi. Waziri Mkuu ambaye yuko ziarani mkoani Kagera amesema mapori hayo kwa sasa yapo katika hatua za mwisho kutangazwa kuwa...

Dkt Shein aipongeza Jumuiya ya Commonwealth

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt  Ali Mohamed Shein ameipongeza Jumuiya ya Commonwealth kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar na kuwapongeza Maspika wa Mabunge ya Jumuiya hiyo kwa kufanya vikao vyao...

Walioshindwa kukusanya mapato kutoa maelezo

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo ameziagiza halmashauri zote nchini ambazo zimeshindwa kufikia malengo katika ukusanyaji wa mapato kutoa maelezo.Waziri Jafo ametoa agizo hilo...

Waziri Mkuu kuanza ziara Kagera

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Oktoba Sita mwaka huu anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya  siku nne mkoani Kagera.Akiwa mkoani humo, Waziri Mkuu Majaliwa atatembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali zikiwemo zile...

Wagonjwa 36 wafanyiwa upasuaji wa moyo

0
Jumla ya wagonjwa 36  wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua na bila kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo  Jakaya Kikwete (JKCI).Upasuaji huo unafanywa na madaktari bingwa wa...

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za mabalozi

0
 Rais John Magufuli kwa nyakati tofauti hii leo amepokea hati za utambulisho za mabalozi wapya watano wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.Hafla ya kupokea hati hizo za mabalozi wapya wa Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na...

Serikali yaokoa shilingi trilioni 3.2 kwa mwaka

0
Serikali imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi Trilioni 3.2 zikiwemo shilingi Trilioni 2.2 zilizookolewa kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii baada ya kufanya uhakiki wa madeni ya serikali, kuondoa watumishi hewa na wenye vyeti...

Serikali kushughulikia changamoto za Skauti

0
Rais John Magufuli amesema kuwa serikali inatambua kazi kubwa inayofanywa na Chama Cha Skauti nchini ikiwa ni pamoja na kutoa msaada wakati yanapotokea majanga mbalimbali.Rais Magufuli ametoa kauli hiyo Ikulu jijini Dar es salaam...

NIDA yapata Mkurugenzi Mkuu mpya

0
Rais John Magufuli amemteua Dkt Arnold Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).Uteuzi wa Dkt Kihaule unaanza leo Oktoba tatu.Kabla ya uteuzi huo Dkt Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu...

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango aitembelea TBC

0
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James ametembelea Shirika la Utangazaji Tanzania -TBC jijini Dar Es Salaam na kusema serikali inatambua changamoto zinazoikabili TBC na kuahidi kuzifanyia kazi.Akizungumza na wafanyakazi wa TBC,...