Wanafunzi Zanzibar watakiwa kuzingatia elimu

0
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi, - Ayoub Mohamed Mahamoud amewataka wanafunzi Visiwani Zanzibar kuzingatia elimu ili kutimiza ndoto zao na kuachana na matendo maovu.Akizungumza na wanafunzi na walimu wa shule ya sekondari ya...

Mgodi wa kokoto wa Tan- Turk wafungwa

0
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko ameufunga mgodi wa kokoto wa Tan- Turk ulipo katika kijiji cha Mindutulieni wilayani Bagamoyo  mkoani Pwani  hadi  hapo mmiliki wa mgodi huo atakapowalipa fidia wananchi wanaozunguka mgodi huo.Naibu Waziri...

Sakata la kutekwa kwa MO, watatu washikiliwa

0
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kufuatia tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini Mohamed Dewji.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa...

Barabara ya Kongwa, Mpwapwa hadi Kibakwe kujengwa

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema  kuwa serikali imekamilisha upembuzi yakinifu na michoro ya barabara ya Kongwa, Mpwapwa hadi Kibakwe mkoani Dodoma ili ijengwe kwa kiwango cha lami na kuondoa changamoto ya ubovu wa barabara...

Baraza la Wadhamini wa CCM lakutana

0
Baraza la Wadhamini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) limewaagiza watendaji na viongozi wote wa chama hicho na Jumuiya zake wa ngazi mbalimbali kuhakikisha katika maeneo yao hakuna mali yoyote ya  chama au Jumuiya inayouzwa,...

Watanzania watakiwa kufanya kazi kwa bidii

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ametoa wito kwa Watanzania kumuunga mkono Rais John Magufuli kwa kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.Profesa Ndalichako...

Wanaovujisha mitihani waonywa

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya maafisa elimu na walimu kutojihusisha na vitendo vya wizi wa mitihani vinavyofanywa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kwa kuwa vinawadharirisha.Waziri Mkuu Majaliwa ametoa onyo hilo baada ya kukabidhiwa vyumba vya madarasa...

UDART yatakiwa kuzingatia usalama barabarani

0
Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani Nchini Fortunatus Musilimu amewataka watendaji na wasimamizi wa mradi wa usafiri wa  mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam (UDART)  kuzingatia sheria na taratibu zote za usalama barabarani.Kamanda...

Benki ya Dunia kufadhili miradi zaidi ya elimu

0
Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bella Bird, mazungumzo yaliyohusu maendeleo ya miradi inayofadhiliwa na benki hiyo.Baada ya mazungumzo hayo Bella Bird amesema kuwa...

Serikali yaagiza shule kupelekewa walimu

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa  muda wa siku mbili kwa Kaimu Afisa Elimu anayeshughulikia elimu ya msingi wilayani Muleba  mkoani Kagera, - Bukuru Malembo awe amepeleka walimu wawili katika shule ya msingi iliyoko kwenye kitongoji cha...