NIDA yapata Mkurugenzi Mkuu mpya

0
Rais John Magufuli amemteua Dkt Arnold Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).Uteuzi wa Dkt Kihaule unaanza leo Oktoba tatu.Kabla ya uteuzi huo Dkt Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu...

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango aitembelea TBC

0
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James ametembelea Shirika la Utangazaji Tanzania -TBC jijini Dar Es Salaam na kusema serikali inatambua changamoto zinazoikabili TBC na kuahidi kuzifanyia kazi.Akizungumza na wafanyakazi wa TBC,...

Mashirika yatakiwa kutia saini mikataba ya utendaji kazi

0
Ofisi ya Msajili wa Hazina imetoa muda wa mwezi mmoja kwa mashirika na taasisi za umma ambazo hazijakamilisha taratibu za kutia saini  mikataba ya utendaji kazi kwa mwaka 2018/2019 kufanya hivyo haraka iwezekanavyo.Akizungumza jijini...

Rais Magufuli atimiza ahadi yake, fedha zakabidhiwa

0
Rais John Magufuli leo Oktoba Pili ametekeleza ahadi yake ya kutoa shilingi milioni Ishirini kwa ajili ujenzi wa ofisi ya wavuvi wadogo (UWAWAKI) waliopo katika eneo la Feri wilaya ya Ilala jijini Dar es...

NECTA yafuta matokeo kwa baadhi ya shule

0
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kufuta matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe Sita na Saba mwezi Septemba mwaka huu katika shule zote za msingi za halmashauri ya Chemba...

Waliopotosha mipaka Kilosa kukiona

0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amekabidhi taarifa ya uchunguzi wa mgogoro wa kijiji cha Mabwegere na vijiji saba vya wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na kuagiza wote waliohusika kupotosha...

Siku ya wazee duniani yaadhimishwa

0
Rais Mstaafu  wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa serikali inatambua matatizo na changamoto mbalimbali zinazowakabili wazee nchini na inafanya jitihada kubwa katika kuzitatua changamoto hizo.Mzee Mwinyi ametoa kauli hiyo mkoani...

TPA yatakiwa kuharakisha ufungaji wa Flow Meters

0
 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt  Philip Mpango ameiagiza Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) kuharakisha mchakato wa kufunga mita za kupima mafuta - Flow Meters katika bandari ya Tanga na kuharakisha urasimishaji wa bandari...

Ujenzi wa meli MV Mbeya II wafikia asilimia 80

0
Ujenzi wa meli mpya ya abiria ya MV Mbeya II inayotarajiwa kutatua changamoto za usafiri wa abiria pamoja na mizigo katika mwambao wa ziwa Nyasa umefikia asilimia 80.Meneja wa bandari katika ziwa Nyasa,- Abed...

Kivuko cha MV Nyerere chanasuliwa

0
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe amesema zoezi la kukinasua kivuko cha MV Nyerere kilichozama kwenye ziwa Victoria katika kisiwa cha Ukara mkoani Mwanza limekamilika rasmi hii leo. Akizungumza na TBC Waziri Kamwelwe...