Mashine ya kuchenjua dhahabu yafungiwa

0
Mashine ya kuchenjulia dhahabu unayomilikiwa na kampuni ya OSA ya wilayani Songwe mkoani Songwe imefungiwa kutoa huduma, baada ya kutuhumiwa kuwaibia wachimbaji ...

Sensa 2022

0
Picha mbalimbali zikionesha mwonekano wa eneo la Sinza Afrika Sana mkoani Dar es Salaam ambalo mara nyingi huonekana likiwa na shughuli mbalimbali, lakini kwa siku ya leo limekuwa tulivu na barabarani hakuna magari mengi...

Huduma ya maji kuwafuata Wananchi

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Serikali ya Mkoa wake umeanza juhudi ya kusambaza maji Safi na salama pembezoni mwa mji huo ili kuendelea kukabiliana na uhaba wa huduma ya...

Viwanda zaidi vyaendelea kujengwa

0
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu zaidi ya viwanda elfu tatu na sitini vimejengwa na hivyo kutoa fursa kwa Watanzania wengi.Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Rais John Magufuli wakati wa kongamano...

Dkt. Mpango kuhutubia jukwaa la Kizazi chenye usawa

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango leo anatarajiwa kutoa ahadi za Tanzania katika Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa linalofanyika huko Paris nchini Ufaransa.Dkt. Mpango anatoa ahadi hizo katika kipindi hiki ambacho Tanzania ...

Wanaccm watakiwa kujirekebisha

0
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi –CCM mkoa wa Njombe, Erasto Ngole amewataka wabunge na madiwani wa CCM mkoani humo kutumia muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu kusahihisha malalamiko ya utendaji waliyonayo kwa wananchi.Ngole...

Vyama vya Ushirika wa kifedha 780 vyapewa Leseni

0
Mrajisi wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini Dkt. Benson Ndiege amesema hadi kufikia mwezi Machi, 2023 jumla ya vyama vya ushirika wa kifedha 780 vyenye jumla ya Wanachama 1,731,237 vilikuwa vimepatiwa leseni kwa...

Jeshi la Polisi lapatiwa jengo Dodoma

0
Rais John Magufuli amelipatia Jeshi la Polisi nchini jengo la Ghorofa Nne lililopo jijini Dodoma, ambalo litatumika kama Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini.https://www.youtube.com/watch?v=szNFatTrqpI&feature=youtu.beAkizungumza mara baada ya kuweka  jiwe la msingi la ujenzi wa  nyumba...

JPM alia na hujuma dhidi ya Serikali

0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John Magufuli amesema kuwa, miongoni mwa changamoto kubwa zinazolikabili Taifa ni hujuma dhidi ya jitihada za Serikali, hujuma ambazo zimekua zikifanywa na baadhi ya watu wasioitakia...

MAMA SAMIA: Changamoto zinazojitokeza hazimaanishi muungano wetu una tatizo

0
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa changamoto mbalimbali zitokanazo na muungano si jambo baya. Akizungumza katika kikao cha kusaini hati tano za makubaliano kwa ajili ya kuondoa hoja za muungano zilizopatiwa ufumbuzi, Mama...