RC Kunenge afanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane, Atoa maagizo kwa wakandarasi wazembe

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kustukiza usiku wa manane kwenye miradi mitatu mikubwa ikiwemo ya ujenzi wa machinjio ya kisasa Vingunguti, Soko la Kisutu na ujenzi wa...

Rais Samia : Madini yetu yataongezwa thamani hapa nchini

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema, madini yanayochimbwa hapa nchini yataongezwa thamani hapa hapa nchini ili kuongeza pato litokanalo na sekta ya madini.Akizungumza mkoani Dar es Salaam katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina...

CCM yamteua Mtaturu kuwania ubunge wa singida mashariki

0
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imemteua Miraji Mtaturu kuwania ubunge wa jimbo la Singida Mashariki kwa tiketi ya chama hicho.Mtaturu ameteuliwa kuwania jimbo hilo katika kikao kilichofanyika hii leo jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha...

Wafugaji mkoani Katavi wamaliza mgogoro na wakulima

0
Baadhi ya wafugaji mkoani Katavi wameanza kutekeleza mpango wa kumaliza migogoro baina yao na wakulima kwa kupanda nyasi kama malisho ya mifugo yao. Afisa Mifugo wa mkoa wa Katavi, Zediheri Mhando amesema tayari serikali mkoani...

Nchi za Afrika Mashariki kukuza uchumi wake kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano

0
Naibu Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amesema lengo la nchi za Afrika mashariki ikiwemo Tanzania ni kukuza uchumi kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano ambayo ni nyenzo muhimu katika kukuza...

Ulega aagiza watendaji kusimamia maelekezo ya viongozi

0
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema atahakikisha kila maelekezo anayoyatoa anayafuatilia kwa karibu ili kujiridhisha na utekelezaji wake na kufikiwa kwa malengo ya serikali.Naibu Waziri Ulega amebainisha hayo wakati alipofanya ziara...

Padri Soka afikishwa tena mahakamani

0
Padri wa kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita jimbo la Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Sostenes Soka leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi kusomewa maelezo ya awali katika tuhuma ...

Kiwanda cha kuchakata mahindi chazinduliwa Mlale

0
Rais John Magufuli amezishauri Taasisi mbalimbali nchini kulipa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) pamoja na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kazi za dharula zinazojitokeza zikiwemo zile za ujenzi wa barabara na madaraja pamoja na uokoaji...

Mufti azungumzia kitendo cha kuchana Quran

0
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amesema kuwa kitendo cha kuchana Quran kilichofanywa na Daniel Maleki huko Kilosa mkoani Morogoro ni cha mtu binafsi na wala hakihusiani na dini yoyote.Mufti...