Setilaiti kongwe yaangukia Bahari ya Pasifiki

0
Setilaiti ya Ulaya ambayo ilianzisha teknolojia nyingi zinazotumiwa leo katika kufuatilia sayari na hali ya hewa, imeteketea baada ya kuungua ikiwa angani na mabaki yake kuanguka katika Bahari ya Pasifiki.Hadi asubuhi hii, hakukuwa na...

Shariff ateuliwa Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkurugenzi...

Ramadhani Brothers washinda America’s Got Talent

0
Kundi la Ramadhani Brothers kutoka Tanzania limepata ushindi wa kwanza wa America's Got Talent: Fantasy League ambapo wamepewa zawadi ya $250,000 (shilingi milioni 636).Fadhili Ramadhani na Ibrahim Jobu wameibuka washindi wakiwashinda washindani wengine ambao...

Waziri Ummy apokea maoni kitita cha NHIF

0
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amepokea taarifa ya kamati aliyoiunda kufanya mapitio ya maboresho ya kitita cha mafao ya mwaka 2023 cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ikiongozwa na Mwenyekiti wa...

Tanzania na Misri kushirikiana sekta ya uchukuzi

0
Waziri wa uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema wizara yake imejipanga kuhakikisha inashirikiama na Wizara ya Uchukuzi ya Misri katika kuendeleza miradi yote iliyopangwa na Serikali kupitia wizara hiyo ili kuleta mafanikio makubwa zaidi nchini.Waziri...

Maafisa 155 wa polisi wapanndishwa vyeo

0
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo maafisa wa polisi 155.Waliopandishwa vyeo ni pamoja na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi kuwa Manaibu Kamishna wa Polisi 27...

Wanafamilia msibani Monduli

0
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa ikiongozwa na mke wa kiongozi huyo Regina Lowassa ikiwa nyumbani kijijini Ngarash, Monduli mkoani Arusha kwa ajili ya kumuaga Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024.

Pinda msibani kwa Lowassa Monduli

0
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ni miiongoni mwa viongozi wastaafu waliofika nyumbani.kwa Waziri Mkuu mstaafu Hayati Edward Lowassa katika kijiji cha Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha, kwa ajili kuaga mwili wa kiongozi huyo aliyefariki...

Tumieni akili vumbuzi, sio akili kibarua

0
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa maendeleo.Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma...

NEC kugawa majimbo

0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutangaza utaratibu na sifa za kugawa majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao.Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu...